Cookie
JF Support
- Aug 6, 2009
- 2,157
- 961
Channel gani Mkuu?
Ilikuwa kwenye BBC
Channel gani Mkuu?
kwa maana hiyo itakuwa tarehe 28/7 ya afrika mashariki yaani saa kumi na MOJA ALFAJIRI AU NDO NIMECHANGANYA MAANA HAYA MASAA WAKATI MWINGINE YANANICHANGANYA HIYO 5:10 MAANA YAKE NI SAA TANO USIKU AU SAA KUMI NA MOJA MAANA KWENYE MATANGAZO YAKO NASIKIA WANASEMA 3H00 MAANA YAKE SAA TISA USIKU YA KULE. MNIDADAVULIE NISIKOSE UFUMBUZI.Saa 5.10 usiku.
umesikia uganda huko?
Maafisa wameenda wengi kulikuwa idadi ya wanamichezo. Wapo zaidi ya 18.
Na posho maafisa $300 huku wanamichezo wakiambulia $75
kwa maana hiyo itakuwa tarehe 28/7 ya afrika mashariki yaani saa kumi na MOJA ALFAJIRI AU NDO NIMECHANGANYA MAANA HAYA MASAA WAKATI MWINGINE YANANICHANGANYA HIYO 5:10 MAANA YAKE NI SAA TANO USIKU AU SAA KUMI NA MOJA MAANA KWENYE MATANGAZO YAKO NASIKIA WANASEMA 3H00 MAANA YAKE SAA TISA USIKU YA KULE. MNIDADAVULIE NISIKOSE UFUMBUZI.