DOKEZO Kuna harufu ya ufisadi Kamati ya Olimpiki Tanzania

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Kamati ya Olympiki ya Kimataifa (IOC) hutoa ruzuku kwa wanachama wake wote duniani wajulikanao kama (NOC) yaani National Olympic Committees kwa kila nchi ambayo inashiriki mashindano ya Olimpiki ya majira ya Joto (Summer Olympic Games) na majira ya Baridi (Winter Olympic Games).

Tanzania ni kati ya wanufaika wa ruzuku hiyo ya IOC na kwa miaka ishirini iliyopita tangu 2001 hadi 2022 tanzania imepokea jumla ya au zaidi ya dola za Kimarekani USD 2,367,174 sawa na Tsh: 5,444,500,200 kwa mtiririko miaka mine mine (Quadrennials) kama ifuatavyo;

1) 2001 - 2004 Athens Olympic Games TOC walilipwa USD 282,594 sawa na TSH: 649,966,300

2) 2005 - 2008 Beijing Olympic Games TOC walilipwa UDS 293,863 sawa na TSH: 675,884,900

3) 2009 - 2012 London Olympic Games TOC walilipwa USD 680,592 sawa na TSH: 1,565,361,600

4) 2013 - 2016 Rio de Janeiro Olympics TOC walipokea USD 523,993 sawa na TSH: 1,205,183,900

5) 2017 - 2020 Tokyo Olympic Games TOC walipokea USD 586,132 sawa na TSH: 1,348,103,600

Fedha hizo hutolewa kwa vyama vyote vya Olimpiki ulimwenguni kwa madhumuni ya kusaidia michezo yote katika nchi zote za dunia ambazo ni wanachama wa Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa (International Olympic Committee - IOC) ambayo ina wanachama 54 kwa Afrika na wanachama zaidi ya 200 duniani.

Fedha hizo zinatolewa kwa ajili ya kutimiza program kadhaa za kuisaidia michezo zaidi ya 30 zinazochezwa katika mashindano ya Olimpiki, kadhalika kusaidia wanamichezo na maendeleo ya michezo katika nchi mbalimbali.

Kama ilivyo kwa nchi zingine barani Afrika, Tanzania inapokea pesa hizo ili kutekeleza programu zifuatazo:

1) Olympic Scholarships for Athletes Tokyo 2020

2) Youth Olympic Games - Athlete Support

3) Technical Courses for Coaches

4) Olympic Scholarships for Coaches

5) NOC Administration Development

6) National Courses for Sports Administrators

7) International Executive Courses in Sports Management

8) Sport for Social Development

9) Olympic Education, Culture and Legacy

10) Forums and Workshops

11) Special Projects

12) IOC Subsidies for NOCs’ Participation in Olympic Games

13) IOC Subsidies for NOCs’ Participation in Youth Olympic Games

14) Continental and Regional Games - Athlete Preparation

15) Youth Olympic Games - Athlete Preparation

16) OlympAfrica (Dole Zanzibar na Filbert Bayi Schools Kibaha)

17) NOC infrastructure (200- 2004) - Own Building instead of renting
 
Hii ni taarifa tu, hakuna cha kujadili labda unataka tukuulize maswali.
 
huyu Mzee Filbert Bayi anahonga viongozi wa Serikali, juzi niliona ametembelewa na kamati ya bunge, huyu ni Fisadi aliyevalia ngozi ya Kondoo?
 
Back
Top Bottom