LONDON 2012 SUMMER OLYMPIC GAMEs

Africa my Africa you make me proud Bolt, Farah , Rudisha illustrious sons of Africa.
 
Africa my Africa you make me proud Bolt, Farah , Rudisha illustrious sons of Africa.


Aisee ile perfomance ya Mo Farah kwenye 5,000 na 10,000 ilikuwa kiboko halafu furaha ya PM Cameroun uwanjani huku akirukaruka kama mtoto aliyeonyeshwa peremende :):) ilinifurahisha sana. Usain Bolt ni kiboko jamaa amejizolea umaarufu mkubwa sana duniani. Akiweza kuepuka kuumia na kujiweka fit kwa miaka mingine minne basi anaweza kuvunja tena rekodi ya Olympics au hata ya dunia kule Rio De Janeiro, Brazil.
 
kwenye same event kuna men's marathon medal ceremony na wanavishwa medali na IOC president.. Uganda is shinning all the wayyyyyyy!! Magnificent...Wimbo wa Taifa wa Uganda unavutia kweli!!
 
I love this photo..what a swap:))

Usain-Bolt-and-Mo-Farah-008.jpg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
I'm jazzed up for Rio 2016!

And if all goes well I might trek down there to witness it all.
 
Back
Top Bottom