Mtanzania Benard Kamungo Aitwa Timu ya Taifa ya Marekani Kuelekea Michuano ya Olympics Paris 2024

Wakipekee

JF-Expert Member
Aug 21, 2019
5,358
9,232
Kwema wadau....
Nimeiona habari ya mtanzania Benard Kamungo anayecheza ligi kuu ya marekani "Major league soccer" yaani MLS Kule alipo mtaalamu wa kucheza soka duniani Leonel Messi kuitwa kwenye kambi ya timu ya Taifa ya marekani Kwa ajili ya maandilizi ya michuano ya Olympics itakayofanyika mwakani kuanzia July Hadi August 10 pale Paris Ufaransa.

Benard Kamungo alizaliwa kwenye kambi ya wakimbizi kasulu pale mkoani kigoma mwaka 2022, ni mchezaji mzuri akiwa anakichafua kama "mido" hatari Sana kwenye club ya Dallas pale maandishi matatu u.s.a, kama kumbukumbu zangu hazijahama huyu jamaa aliitwa timu ya Taifa ya Tanzania Ila sijajua nini kilitokea hapa katikati. Naomba wanaojua zaidi watupe info.

Nadhani ni muda sahihi Kwa serikali yetu kutambua na kuvithamini vipaji vya watanzania wanaocheza soka la kulipwa huko ughaibuni kwani uwepo wao kikosini ni faida kubwa. Hii naamini kila mtu aliona hata Taifa Stars ilivofuzu Wenda AFCON jinsi wachezaji wanaocheza ng'ambo waliisaidia timu.

Kama inshu ni uraia Pacha basi inabidi iwepo feva hata Kwa wachezaji pekee ili wapate nafasi ya kucheza na kuisaidia Tanzania kimataifa. Kwa wanaokumbuka hata Yousuf Paulsen nyota wa RB Leipzig aliwahi kukaririwa kua alitamani kuchezea timu ya Taifa la Tanzania lakini kuna mambo yalikwamisha.

Ni hayo Tu. Sio kilasiku tuwe wa mwisho wakati tunaweza kua wa Kwanza pia.

IMG_20231008_223527.jpg

-==================

Bernard Kamungo Invited to U.S. Olympic Team: “It’s one of my dreams come true"

Kamungo been called up to the U.S. Olympic National Team for its training camp in preparation for the 2024 Olympic Games. It’s another milestone in Kamungo’s unprecedented rise.

“It’s one of my dreams come true,” Kamungo said. “It’s a dream for me and my family to be called up to the U.S. national team and to be able to attend the camp. To play with all the guys out there, I can’t wait to be honest.”

Born in the Nyarugusu refugee camp in Tanzania, Kamungo and his family relocated to Abilene, Texas in 2016 with the help of the International Rescue Committee. There, Kamungo played high school soccer for four years before entering an open tryout for North Texas SC at the insistence of his older brother, Imani.

Kamungo’s talent was evident, and the 19-year-old was offered a pro contract with North Texas, FC Dallas’ reserve team. A year and a half later, Kamungo’s goals and performances earned him an MLS contract. Already, Kamungo’s journey was storybook worthy.

The 2023 season was supposed to be slow going for Kamungo as his acclimated to the speed and intensity of the U.S.’s top division. Kamungo didn’t get the memo and marked his home debut with a last-minute game-winning goal. Two months later, he scored another game-winner on his first start.

The 2023 Leagues Cup is when Kamungo captured the imagination of the wider American soccer audience. He’d already scored one goal and added three assists in the tournament before FC Dallas hosted Inter Miami – and Lionel Messi – in the quarterfinals.
Capture.JPG

Viewers around the world weren’t surprised when Messi opened the scoring with a trademark left-footed strike. But they didn’t expect what happened next. Kamungo, not even three years removed high school soccer, scored a goal of his own in the most high-profile game in FC Dallas history.

Kamungo is eligible for both Tanzania, the country of his birth, and the U.S., having become an American citizen in 2022. He joined up with Tanzania's senior team back in June but wasn't able to play in any games as he awaited his Tanzanian passport. With that experience under his belt, Kamungo said he's looking forward to learning more about the U.S. team's environment during his 10-day long stay. The U.S. Olympic team will train in Arizona before facing off against the U23 teams of Mexico and Japan later this month.

“Even when I came to FC Dallas, I just never thought that one day I'll become U.S. national team player, or just play for the U.S. national team,” he admitted. “All this stuff happening right now is just such a big dream, and I’ll remember it for my whole life.”

Kamungo will need to be at his best to be chosen for the U.S.’s final Olympic roster. It’s a tough benchmark. But knowing where he came from, what’s he’s been through to get where he is, don’t be surprised if you see him scoring for the Stars and Stripes in Paris next summer.

Source: fcdallas
 
Kwema wadau....
Nimeiona habari ya mtanzania Benard Kamungo anayecheza ligi kuu ya marekani "Major league soccer" yaani MLS Kule alipo mtaalamu wa kucheza soka duniani Leonel Messi kuitwa kwenye kambi ya timu ya Taifa ya marekani Kwa ajili ya maandilizi ya michuano ya Olympics itakayofanyika mwakani kuanzia July Hadi August 10 pale Paris Ufaransa.

Benard Kamungo alizaliwa kwenye kambi ya wakimbizi kasulu pale mkoani kigoma mwaka 2022, ni mchezaji mzuri akiwa anakichafua kama "mido" hatari Sana kwenye club ya Dallas pale maandishi matatu u.s.a, kama kumbukumbu zangu hazijahama huyu jamaa aliitwa timu ya Taifa ya Tanzania Ila sijajua nini kilitokea hapa katikati. Naomba wanaojua zaidi watupe info.

Nadhani ni muda sahihi Kwa serikali yetu kutambua na kuvithamini vipaji vya watanzania wanaocheza soka la kulipwa huko ughaibuni kwani uwepo wao kikosini ni faida kubwa. Hii naamini kila mtu aliona hata Taifa Stars ilivofuzu Wenda AFCON jinsi wachezaji wanaocheza ng'ambo waliisaidia timu.

Kama inshu ni uraia Pacha basi inabidi iwepo feva hata Kwa wachezaji pekee ili wapate nafasi ya kucheza na kuisaidia Tanzania kimataifa. Kwa wanaokumbuka hata Yousuf Paulsen nyota wa RB Leipzig aliwahi kukaririwa kua alitamani kuchezea timu ya Taifa la Tanzania lakini kuna mambo yalikwamisha.

Ni hayo Tu. Sio kilasiku tuwe wa mwisho wakati tunaweza kua wa Kwanza pia.

View attachment 2776069
huyo sio mtanzania, ni mkongo, mbona mnapenda kung'ang'ania raia wasio wenu. baba yake na mama yake walikuwa wacongo waliokimbia vita wakawa kasulu kwenye makambi ya wakimbizi huko ndiko alizaliwa. ni mtanzania kwa kuzaliwa ila anao uamuzi kuwa mcongo au mmarekani.
 
Uraia pacha?
CCM wanaogopa kupindiliwa,hivyo hawezi ruhusu hilo
 
Ni Mmarekani wa Kitanzania aliyezaliwa katika kambi ya Wakimbizi waliotokea Congo ya Kinshasa/Ishasha.Tafuta jibu sahihi la Kamungo kwa kutumia koleo gumu bila kuhusisha beleshi lenye spade.h
Ni Mmarekani wa Kitanzania aliyezaliwa katika kambi ya Wakimbizi waliotokea Congo ya Kinshasa/Ishasha.Tafuta jibu sahihi la Kamungo kwa kutumia koleo gumu bila kuhusisha beleshi lenye spade.

Kwa hiyo wakimbizi waliotokea Burundi ni watanzania?
 
huyo sio mtanzania, ni mkongo, mbona mnapenda kung'ang'ania raia wasio wenu. baba yake na mama yake walikuwa wacongo waliokimbia vita wakawa kasulu kwenye makambi ya wakimbizi huko ndiko alizaliwa. ni mtanzania kwa kuzaliwa ila anao uamuzi kuwa mcongo au mmarekani.
Nimeshangaa mtu kazaliwa kwenye kambi ya wakimbizi Kasulu analazimishwa awe mtanzania.
 
Tulikosoa sana humu kuhusu uraia wake. Tulifanya hivyo ili serikali iangalie suala la uraia pacha. Siyo wao wanataka vitu vizuri kutoka nje wakati sheria inakataa. Benard Kamungo ni Mmarekani na siyo Mtanzania.
 
Dogo alisema yuko tayari kucheza team yataifa Tanzania. Ila kwenye kikosi kilichocheza mechi dhidi ya Algeria akatoswa, wakaitwa akina Boco. Sasa tulieni dogo atafute greener pastures!
Kabisa tatizo Tanzania tumeziea Sana mambo ya ubabaishaji... Wakati mataifa makubwa kama Ufaransa yanawapa haraka wachezaji wenye vipaji nafasi Sisi hatuna habari
 
huyo sio mtanzania, ni mkongo, mbona mnapenda kung'ang'ania raia wasio wenu. baba yake na mama yake walikuwa wacongo waliokimbia vita wakawa kasulu kwenye makambi ya wakimbizi huko ndiko alizaliwa. ni mtanzania kwa kuzaliwa ila anao uamuzi kuwa mcongo au mmarekani.
Nimependa hapo uliposema ni mtanzania Kwa kuzaliwa
 
Sasa mtajidai ni Mtanzania. aishaukana uraia huyo, ni mtumwa wa USA? Msimzowee sana.

Ukiwa mtumwa wa Marekani na wewe ni Mmarekani. Mmarekani huyo.
 
Back
Top Bottom