Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 4,045
- 3,603
yaani hata likichelewa kuchomoka litamaliza la kwanza tu...
majaribu haya......
we akishakimbia niambie kawa wangapi.....kuna big brother inaendelea huku......
Huyu jamaa balaa amewahacha kwa mbali Washiliki wenzake .amekimbia kwa sec 9.87. Sasa
bado fainal
Mt 3000 wanaume mkenya achukua dhahabu
Kwa wapenda kufukuza upepo muda mfupi ujao mjamaica maharufu atakua anafuza hewa wai kwenye tv yako sasa