ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
Mama yaani mi nawafagilia sana wanariadha wa US but hili jamaa kila nikiliangalia basi nanyong'onyea.
Na hata wenyewe wanyamwezi wa US wameonekana wazi kukosa dawa ya Bolt.
Nilihisi Justin Gatlin atatoka kifungoni na miujiza lakini kachambia *****.
Tyson Guy nae ndio walewale, Shawn Crawford nae ndio ushuzi tu siku hizi...
Dah haya bana, pongezi nyingi zimfikie MR Mahatua Ussain Bolt.
kwa GC unamwekea kauzibe nini huyu Usain