OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,256
- 13,154
Hellow wakuu,
Picha linaanza jamaa anashuka kwenye ndege Mwanza airport akitokea kwenye ibada ya maelfu ya watu jijini Dar es salaam. Anapokelewa na BMW nyeupe na msafara unaanza kuitafuta helkopta humo humo airport.😄 Mwamposa wewe ni allien aiser.
Kabla ya kukwea helkopta kutoka airport kwenda mtaa wa tatu hapo hapo mwanza wanakuja wadada wa airport mbio mbio wakiwa hawajui hata ndala wameziacha wapi wanafosi kupata upako, Mwamposa anapiga maombi kimtindo kisha inaingia kwenye chopa kuutafuta mtaa wa tatu ambapo kuna maelfu ya watu wanamgonjea tena wakiwa hawaiogopi mvua wala kulisikia jua😅
Gold is flowing from poor people pockets to rich people. Uchumi hauhitaji hasira.
Wakati tunawaza kesho tutakula wapi jamaa anazidi kujaza pesa kwenye account yake kiasi lwamba imejaa mpaka inataka kupasuka
Uchumi hauhitaji hasira
Wakuu tunaosaka buku mbili mbili vibarua vya hapa na pale tunapinduaje meza hapa?