leme
JF-Expert Member
- Mar 11, 2010
- 351
- 162
Imefika mahali mwanaume ndani unaacha kuongea nae chochote,,,maana chochote utakachoongea anakipindua na kwenda kukukebehi kwenye mitandao kama sio kukutukana..takataka kama hii mwanaume anaejitambua hawez weka ndani,,,atapiga na kusepa, ni mm tu ndo nilikosea