Lodge kali Songea Mjini

Kwa ukarimu huu inatamanisha kufika huko Songea.
 
Wakuu anaejua lodge nzuri Songea Mjini, iwe karibu na watoto wakali, J4 nitakuwa hapo, isiwe mbali na Mjini.
Huo mji lodge ni nyingi Ila kupata ikifika saa mbili usiku huwa nimtiti,
Mara ya mwisho nilipita 2022 nilisota sana
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Afu huwezi amini, hakuna hata 1 niliyowahi gusa hata mlango wa Reception..

Naziona tyuuh nikiwa napita karibu na maeneo hayo. Lol
Nimepita pita songea sijaona madem wakali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…