Local channels zaanza kuonekana bure katika Startimes

Local channels zaanza kuonekana bure katika Startimes

Baada ya kifurushi kuisha, zuku wameondoa na TBC waliyokuwa wameibakisha baada ya zile nyingine kuondolewa kipindi cha mgogoro, Nikilipa wachinje bata mwekundu, siwezi lipia TBC1 mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hizi za zanzibar ZBC SIO loccal channels? maana huwa wanavipindi vya michezo vya maana na saa nyingine huonyesha michezo live
 
mpaka tar 5 sep mwaka huu channels 32 local zitakua free on air kwenye visumbusi vyote
 
serikali ilisema chanel 32 za ndani zitaonyeshwa bure,sasa ninavyowajua wabongo hakuna atakayelipia kifurushi tena,am afraid the bussiness gonna die
 
serikali ilisema chanel 32 za ndani zitaonyeshwa bure,sasa ninavyowajua wabongo hakuna atakayelipia kifurushi tena,am afraid the bussiness gonna die
We will be behind our tv screen watching them die!! Let them die mfckr!
 
We will be behind our tv screen watching them die!! Let them die mfckr!

sometimes tujifunze kufikiria kabla ya kupost vitu hapa, unakimbilia kusema let them die, hivi umefikiria kuwa kuna watanzania wengi wanafanya kazi huko? na je nyuma yao kunawatu wangapi?, usikute hata kuna ndugu zako wako huko wanafanya kazi?

nikupe mfano mdogo tu, DIGITEK sasa hivi wamepotea katika market na wafanyakazi wake wengi walifukuzwa kazi kwa sababu watu hawalipii! the same is about to happen to CONTINENTAL na TING!
 
Back
Top Bottom