Local channels zaanza kuonekana bure katika Startimes

Local channels zaanza kuonekana bure katika Startimes

Kufuatia agizo la Tcra na waziri hatimaye channels za bure zimeanza kuonekana bure

King'amuzi changu cha startimes local channels zimeanza kuonekana bure ambazo ni Itv, startv, tbc,channel ten,tve, na tv1

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unarudishaje tarehe nyuma wakati ilishatangazwa zitaanza kuoneshwa trh05/9?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufuatia agizo la Tcra na waziri hatimaye channels za bure zimeanza kuonekana bure

King'amuzi changu cha startimes local channels zimeanza kuonekana bure ambazo ni Itv, startv, tbc,channel ten,tve, na tv1

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mi bado kifurushi kiliisha jana nikamute lakini hamna. Nimelipia tu saa moja jioni ili nione taarifa ya habari.
 
sio muhenga mm acha kunizeesha buradha au unataka kunipeperushia ndege wangu nnae mvizia??
We kuwa na mahela tu hata ukiwa na 50 ukafata ki ben 20 utaonekana una 25 tu kwa mihela ratio ya mahusiano lwa wenye nazo na mabint age wise ni 3:1 yaani ukiwa na 60 unachukua mjukuu wako wa 20yrs as long as mpunga unao na uwezo wa kugegeda japo kamoja kwa wiki bila viagra unao kinyume cha hapo tulia tu na mzee mwenzako mpunga wako fanya matembezi duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom