Semistocles
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,932
- 1,126
bwana mdogo kuna graduates wazuri sana wa mzumbe, makumira na kwingineko.unawafahamu graduates wangapi wa UDSM wasio na ubora?,unawalinganisha na graduates wa chuo gani?
LLB ya UDSM 4 Years,Naomba kujua utofauti na ubora wa kozi za sheria kwa LLB ya UDSM na Tumaini Mkumira kwa ubora, soko ajira na ukubalikaji wake..
u wasn`t fair in your previous comment,u commented as if incompetent graduates are from UDSM only....be fair,kama ulikosa nafasi UDSM isikufanye kuwa negative kuhusu wao.....anyway sijui hata kwa nini tunalinganisha UDSM na hao wengine ....UDSM mshindani wake SUA kwa hapa nchini....hutaki meza motobwana mdogo kuna graduates wazuri sana wa mzumbe, makumira na kwingineko.
kuna graduates wazuri pia wa udsm
lakini kuna wabovu pia kutoka sehemu zote.
udsm??? what is udsm?
ubora wa chuo unapimwa kwa duration ya course?LLB ya UDSM 4 Years,
LLB ya Tumaini 3 Years
weweeeee hahaha kojoa kalale tu, utoto unakusumbua.
unadhani vyuo vikuu ni sawa na zile ligi zenu za kike za kiba na diamond?
hahahahaa
unasubiri jina la UDSM likubebe kwa mbeleko, tena kama mwanafunzi mwenyewe ndio wewe ICE MAN 3D mbona ni msiba.
nimeze moto kwa ajili ya ulimbukeni wa peasants waliovamia jiji?u wasn`t fair in your previous comment,u commented as if incompetent graduates are from UDSM only....be fair,kama ulikosa nafasi UDSM isikufanye kuwa negative kuhusu wao.....anyway sijui hata kwa nini tunalinganisha UDSM na hao wengine ....UDSM mshindani wake SUA kwa hapa nchini....hutaki meza moto
weweeee hebu lala ukue,Ushaanza ushenzi, mi sio mwanafunzi wa LLB wala UDSM ila ukweli naujua
Halafu unanitusi sijaonesha ligi ya kike sehemu yoyote.
Nimekuona mjinga tu, unahangaika na chuki zako binafsi
Naona unaleta ligi za kishoga, sina hzo mimi. Peleka mashauzi yako mbele huko
tetea chuo chako hapo kwanini kiitwe bora siyo unabaki unapiga kelele tuu.
Idiocy is your talent
johnson meki
Huwezi mtu kama wewe kunifanya ni lale mimiweweeee hebu lala ukue,
tuachie jukwaa watu wenye upeo.
rudi kwenye ligi za size yako za kina lulu na zari.
hahahahahahahHuwezi mshenzi kama wewe kunifanya ni lale mimi
Hapa nipo na stoki.
LLB yako ya tuition hiyo ufananishe na UDSM!! Wee utakuwa unaumwa akili aki!
he heee....mweee,UDSM wewe acha kabisa,unatufanya tupigwe ngumi huku mtaani.nimeze moto kwa ajili ya ulimbukeni wa peasants waliovamia jiji?
by the way hizo ligi zenu za kike are not my cup of tea.
i have been compelled by this madness that keeps going and coming back everytime.
nadhani ubora wa chuo unapaswa kupimwa katika basis ya graduate mmoja mmoja,
nimekupa mfano tu wa vilazer wachache kati ya wengi wa udsm niliokutana nao...
mahali popote pale lazima wapo the super na wabovu...
usijifiche kwenye mbeleko ya udsm wakati hata kuandika tu sentensi zenye nukta huwezi.
unafanya nini udsm wewee?
ona peasant mwingine huyu hapa!!he heee....mweee,UDSM wewe acha kabisa,unatufanya tupigwe ngumi huku mtaani.
tulia wewe.ona peasant mwingine huyu hapa!!
Good, naona sasa hivi umeanza kujua na kuzingatia matumizi ya nukta na alama zingine za uandishi.tulia wewe.
eti YOU "WASNT" FAIR IN YOUR PREVIOUS COMMENT.u wasn`t fair in your previous comment,u commented as if incompetent graduates are from UDSM only....be fair,kama ulikosa nafasi UDSM isikufanye kuwa negative kuhusu wao.....anyway sijui hata kwa nini tunalinganisha UDSM na hao wengine ....UDSM mshindani wake SUA kwa hapa nchini....hutaki meza moto
kwani kujua kiingereza ndio kipimo cha kuwa na knowledge kaka?....wakoloni bado watatutesa sana.niliwahi kutembelea shule fulani nikakutana na vijamaa vinasoma education viko udsm..
vilikuwa viko field,
it was so gross seeing them bragging about , trying madly to make their english sound british...
vikawa vinajitutumua pale na vingereza uchwara vyao with a lot of intollerable grammatical errors...
asee nilistaajabu,
unaona ulivyo peasant.kwani kujua kiingereza ndio kipimo cha kuwa na knowledge kaka?....wakoloni bado watatutesa sana.
another peasant in town.Dah.... Yaan unalinganisha kikombe na galoni... Asee tena nenda mlimani ukaombe radhi