LLB UDSM vs LLB Tumaini Makumira

LLB UDSM vs LLB Tumaini Makumira

hakuna tofaut yoyote GPA tu ndio zinakubeba kwani ndio kipimo halisi cha uwezo wako mengine nj mbwembwe acheni kudanganya watu...
Mkuu naona umeongezea mada juu ya mada, swala la GPA na kipimo cha uwezo wa mtu nayo ni mada.
 
UDSM imebaki jina tu, lakin content hakuna. Walimu wenyewe wako busy mahakamani kisaka hela, wanakuja kutoa lectures even late nights and weekends wakiwa wamechoka na kukimbizana na muda. Kingine UDSM hawafanyi reseach undergraduate. Vyuo vyetu vyote vina ubovu unaofanana, walimu wetu ni walewale na matatizo sawa, ubunifu hakuna. Kungekua na utofauti tungesikia uvumbuzi mpya au project za maana zimefanywa na wanafunzi wakishirikiana na walimu huko UDSM. Kuhusu kuajiriwa ni kwa sababu hata badhi ya waajiri nao wengi wamesoma huko huko UDSM kwa hiyo lazima walinde hadhi ya chuo chao ila pia UDSM ina wahitimu wengi comparef na vyuo vingine. So the more you offer to the market the more you sell if the quality is almost the same. Kwa hiyo hiyo tabia ya kubeza vyuo vingine naona ni kama inferiority complex maana kama unajijua uko safi huna haja ya kutumia nguvu nyingi
 
Asilimia kubwa no wewe na uwajibikaji wako kama unasoma UDSM ukakariri kisha utapata first class na aliesoma makumira akapata second class lakini amemuelewa lecture, wa makumira ni bora kulima wa UDSM
 
unaona ulivyo peasant.

huko vyuoni mnafundishwa kwa kisukuma?

if you cannot understand where and when to fix simple and common auxilliary verbs in your sentences, wewe ni zaidi ya kituko.

was / were / is / be / am ; ndio core za lugha ya kiingereza,

ndio maana nawaambia ninyi watu bwana, ni morons tu,

auxilliary verbs tumejifunza huko primary, tukarudia tena secondary na vyuoni pia.

kama hujui english utawezaje kujua yanayofundishwa, au mnakariri tu kama maroboti.
Ok,its not your problem...kumbuka hata wachina hawajui kiingereza.
 
Naomba kujua utofauti na ubora wa kozi za sheria kwa LLB ya UDSM na Tumaini Mkumira kwa ubora, soko ajira na ukubalikaji wake..
hapo sawa na kulinganisha Tanganyika international school versus kimara kayumba primary school. haujawa fair kabisa. au linganisha dushe la punda limpande sungura, ni uonevu. udsm ndio Tanzania yenyewe huko kwingine ni mikoani.
 
ukiwa udsm ukimaliza GPA 3.5 naukimaliza chuo kingine na GPA 4.0 unaweza pata mtazamo gani kama wote wamesoma cozi moja..
 
ubora wa chuo unapimwa kwa duration ya course?

ok

mzumbe 3 years

st augustine 4 years

**********★******

ubora umeonekanaje hapo?
Ameomba kujua UTOFAUTI na UBORA
Mimi nimemuonyesha UTOFAUTI kuhusu ubora SIJUI maana kote huko sijapita
 
ukiwa udsm ukimaliza GPA 3.5 naukimaliza chuo kingine na GPA 4.0 unaweza pata mtazamo gani kama wote wamesoma cozi moja..
ukienda vyuo vyote hata hicho tumaini na vingine, wanapotangaza kazi, wanasema vyuo vingine GPA iwe 4, ila udsm hata 3.0 sawa tu. A ya Tumaini au popote pale ni C ya udsm. huo ndio ukweli. wengi wanaoponda udsm hapa hawajasoma pale hivyo hawaijui, wanaisikia tu. kile ndio kitovu cha usomi tz. samahani kama nitakuwa nimewakwaza.
 
Watanzania Tutaelimika Lini?

Mtoa Mada Ameomba Kujua Chuo Kipi Kati Ya Udsm Na Makumira Kina Toa Taaluma Nzuri Ya Sheria.

Wengi Wenu Humu Mmepondeana Vyuo Ambavyo Mmesoma Ama Mtavisoma Au Mmesikia Watu Wakisoma. Kitu Ambacho Ni Bias Na Kinaweza Kutomsaidia Mtoa Mada

Back To The Point Binafsi Kwa LL.B Nzuri Inapatikana UDSM Na Hilo Haina Ubishi Sana. Kutokana Na Ukweli Kwamba Wataalamu Wazuri Wa Kufundisha Sheria Kama Prof. Issa Shivji, Majamba Nk. Ambao Wamesaidia Kuwepo Kwa Wanasheria Nguli Tanzania Wapo UDSM.

In a Nutshell Nenda UDSM Hutojutia.
 
Sishangai sana UDSM ipo kisiasa na kihistoria zaidi ndio maana siahangai sana mnavyojikuta wajaanja kumba wa kawaida tuu, wanafunzi kibao tunakutana nao field wa UDSM wala hawana lolote, wote tupo level moja tuu.
Mtoa mada nampa moyo simkatishi tamaa kuna vyuo vizuri sana vinatoa sheria kama University of iringa zamani tumaini au mzumbe.
Achana na hao wanajikuta wajanja kumbe outdated tuu.
 
u wasn`t fair in your previous comment,u commented as if incompetent graduates are from UDSM only....be fair,kama ulikosa nafasi UDSM isikufanye kuwa negative kuhusu wao.....anyway sijui hata kwa nini tunalinganisha UDSM na hao wengine ....UDSM mshindani wake SUA kwa hapa nchini....hutaki meza moto
Kuna baadhi ya vyo wanasifika kwa fani flani kama engineering ya st joseph au IT inayotolewa na wahindi iko juu sana.
 
bwana mdogo kuna graduates wazuri sana wa mzumbe, makumira na kwingineko.

kuna graduates wazuri pia wa udsm

lakini kuna wabovu pia kutoka sehemu zote.

udsm??? what is udsm?
Kwan mkuu kama mtu akipata upper second ya LAW ya 3.5/3.6 ya udsm anaweza kuwa lecturer chuo chochote??
 
Chuo hakisomi, au kufanya kazi, anayesoma ni mtu, na anayefanya kazi ni mtu, watu wanaangalia uwezo binafsi na sio chuo ulichosoma. Mfano miaka ya nyuma LL.B University of DSM Cut-off point ilikua ni 5, below that unakwenda kwingine, ila sasa wanachukua mpaka 7 points. Hicho ni kiashiria kua ubora wa elimu pia watu umepungua. ****** wapo kila mahali hata Harvard. mwisho wa siku ni namna unavyofanikisha mambo yako katika maisha. Huku mtaani watu wanapima mafanikio yako na sio chuo ulichosoma. Ila mkiwa shuleni mambo ya ubora wa vyuo yanakuwepo. Unless you want to be an academician, chuo ulichosoma wala GPA uliyonayo hakina/haina maana yoyote in real life.
Naambiwa mtu mwenye GPA YA UPPER SECOND 3.5 AU 3.6 YA LLB KUTOKA UDSM ANAWEZA PEWA NAFAS YA KUFUNDISHA (LECTURER) CHUO CHOCHOTE...HII NI KWELI AMA UZUSHI???
 
ukienda vyuo vyote hata hicho tumaini na vingine, wanapotangaza kazi, wanasema vyuo vingine GPA iwe 4, ila udsm hata 3.0 sawa tu. A ya Tumaini au popote pale ni C ya udsm. huo ndio ukweli. wengi wanaoponda udsm hapa hawajasoma pale hivyo hawaijui, wanaisikia tu. kile ndio kitovu cha usomi tz. samahani kama nitakuwa nimewakwaza.
Jipe matumaini.
 
Naambiwa mtu mwenye GPA YA UPPER SECOND 3.5 AU 3.6 YA LLB KUTOKA UDSM ANAWEZA PEWA NAFAS YA KUFUNDISHA (LECTURER) CHUO CHOCHOTE...HII NI KWELI AMA UZUSHI???
GPA NI GPA vyuo vyote vinafuata miongozo ya tcu hivyo hilo usemalo halina msingi kitaaluma. Hawakuchukua kwa kuwa una 3.5 ya dar watakuchukua ukifaulu usaili na kama wanakubali 3.5 full stop.
 
Acha kufananisha UDSM na vitu vya kipumbavu
Mi naona don't and please don't dare to compare Udsm to extended high school.
Observe this argument in very roudly minded set: don't compare udsm with worthlessly-ness high school!!!!
 
Naambiwa mtu mwenye GPA YA UPPER SECOND 3.5 AU 3.6 YA LLB KUTOKA UDSM ANAWEZA PEWA NAFAS YA KUFUNDISHA (LECTURER) CHUO CHOCHOTE...HII NI KWELI AMA UZUSHI???
Hata tumaini pia wapo wenye hizo GPA wanafundisha vyuoni.
 
Watanzania Tutaelimika Lini?

Mtoa Mada Ameomba Kujua Chuo Kipi Kati Ya Udsm Na Makumira Kina Toa Taaluma Nzuri Ya Sheria.

Wengi Wenu Humu Mmepondeana Vyuo Ambavyo Mmesoma Ama Mtavisoma Au Mmesikia Watu Wakisoma. Kitu Ambacho Ni Bias Na Kinaweza Kutomsaidia Mtoa Mada

Back To The Point Binafsi Kwa LL.B Nzuri Inapatikana UDSM Na Hilo Haina Ubishi Sana. Kutokana Na Ukweli Kwamba Wataalamu Wazuri Wa Kufundisha Sheria Kama Prof. Issa Shivji, Majamba Nk. Ambao Wamesaidia Kuwepo Kwa Wanasheria Nguli Tanzania Wapo UDSM.

In a Nutshell Nenda UDSM Hutojutia.
Hao ni Academicians tu mkuu, na sio wanasheria nguli. Wanasheria nguli wanapatikana huku kwenye corridors za mahakama na wanafahamika.
 
Back
Top Bottom