LLB UDSM vs LLB Tumaini Makumira

LLB UDSM vs LLB Tumaini Makumira

kuna watu smart sana ambao walipaswa kuwa UDSM ila sio hawa vilazer ninaokutana nao field mashuleni...

nadhani kun haja ya kufanya oral exams ili tuepuke kupeleka mambumbumbu udsm waliobahatisha kufaulu necta.

kiukweli nina wivu sana wa jina la UDSM, ila hawa vilezer waliopo humo ni shida.
 
naona mkuu utakua umeanza kupata majibu ya swali lako
 
niliwahi kutembelea shule fulani nikakutana na vijamaa vinasoma education viko udsm..

vilikuwa viko field,

it was so gross seeing them bragging about , trying madly to make their english sound british...

vikawa vinajitutumua pale na vingereza uchwara vyao with a lot of intollerable grammatical errors...

asee nilistaajabu,
 
aah huyu jamaa bhana cjui amejifikiria nn mpaka anavilinganisha ivi vyuo...... yani hapa sawa sawa ana mlinganisha diamond na kiba......
 
Ni jambo la ajabu sana kulinganisha LLB ya UDSM na Makumira
*kwa leo nimekusamehe
 
kuna msukuma mmoja wa mwanza tulisoma nae advance miaka ile...

kiufupi jamaa ni mshamba mno na matamshi yake ni mazito sana... akili yake ya kupambanua mambo ilikuwa nzito mno

bahati nzuri akapata ka one kake advance , kajipeleka kichwa kichwa kusoma udsm sheria

nilicheke mno kwasababu yule mtu ni kilazar na ninamtambua inside out.

kusoma udsm doesnt guarantee anything..

kiukweli kwa takwimu za vilazar wa udsm niliokutana nao, ni msiba mzito.

udsm imebak majengo tu, sion utofauti wowote
 
Ni jambo la ajabu sana kulinganisha LLB ya UDSM na Makumira
*kwa leo nimekusamehe
acha mbwembwe.

intake ya wanaoenda pale tunaitambua, ni hawa hawa classmates zetu, kaka zetu, dada zetu na wadogo zetu..

hivi hao wa udsm si ndo hao vilazer tunaoishi nao huku huku mitaani...

au ni watu wapya kutoka sayari nyingine?
 
We nawe nimekusamehe kwa kuwa hujafananishaLLB ya UDSM na chuo chochote bongo.

Hayo mengine unataka tubishane bila sababu ya msingi sasa.
 
We nawe nimekusamehe kwa kuwa hujafananishaLLB ya UDSM na chuo chochote bongo.

Hayo mengine unataka tubishane bila sababu ya msingi sasa.
sioni tofauti yoyote.

sina haja ya kulinganisha wala kutofautisha.

unaweza kunipa ulinganifu au utofauti wa hivi vyuo viwili?
 
In diversity we march forward- hatuwezi wote kwenda UDSM kwa sababu tofauti cha msingi check program ya Makumira imekaaje na wanaperform vipi wakifika Law School? Kama wanaufaulu wa kutosha sioni tatizo liko wapi. Dar ina advantage in the sense ya kuwa it was established long time ago, ni public university-serikali yetu inawalipa wakufunzi mishahara hivyo wana a good staff complement lakini siyo lazima iwe chaguo la kila mtu. Katika elimu kuna mchango wa chuo lakini pia mchango wa mwanafunzi ni mkubwa.
 
umeongea point mkubwa, bravo.

ukianza kubishana na hawa malimbukeni wa jiji waliokuja kushangaa ghorofa za RITA, utakesha.
 
sioni tofauti yoyote.

sina haja ya kulinganisha wala kutofautisha.

unaweza kunipa ulinganifu au utofauti wa hivi vyuo viwili?
Sio huoni tofauti sema hujui tofauti
Na kuto kujua kwako haifanyi tofauti isiwepo

Usifananishe LLB ya UDSM na vitu vya kijinga.
Naishia hapo
 
Jina la Chuo tu but lack of competence UDSM Is nothing you find the graduate doesn't know even to express himself /herself competence is what is needed so UDSM watch out
unawafahamu graduates wangapi wa UDSM wasio na ubora?,unawalinganisha na graduates wa chuo gani?
 
Sio huoni tofauti sema hujui tofauti
Na kuto kujua kwako haifanyi tofauti isiwepo

Usifananishe LLB ya UDSM na vitu vya kijinga.
Naishia hapo
weweeeee hahaha kojoa kalale tu, utoto unakusumbua.

unadhani vyuo vikuu ni sawa na zile ligi zenu za kike za kiba na diamond?

hahahahaa

unasubiri jina la UDSM likubebe kwa mbeleko, tena kama mwanafunzi mwenyewe ndio wewe ICE MAN 3D mbona ni msiba.
 
Back
Top Bottom