LLB UDSM vs LLB Tumaini Makumira

LLB UDSM vs LLB Tumaini Makumira

Wakuu naona tunakuwa biased sna htukatai udsm kuwa chuo kikongwe na kinachoongoza Tanzania lkn hakizui ubora pia ambao uko ktk vyuo vingne kwa muktadha huo inamaana w2 wte waliosoma udsm wmeajiriwa hkna ht mmoja mtaani anaehangaika kma kina ss wa vyuo vya kawaida vsvyo na majina makubwa ya ni vzr w2 wakaeleza ubora na umahiri bila kutumia lugha za kuudhi chuo wnachosoma wanyonge na maskini wa nchi hii ww unakiita uchafu tafadhar jmn htjafkia hko tunaacknolewdge udsm lkn tunavipa sifa pia vyuo vingne cz vyote ni learning institution na vyte ni vye2 sote watanzania hsa wa kawaida wnjskia vbya mnavyotumia maneno mabaya kuvieleza vyuo vy2 ss wanyonge watt wa maskini wa nchi hii
 
UDSM ni chuo wengi wanakipa first priority kwa sababu ni kikongwe ,kipo mjini na kikubwa kwa majengo tu lakn in fact hamna kitu watu tunapiga nao kazi huku, yaani basi tu vijana ndio wanasumbua kwa kukariri vyuo lakn juhudi za mtu ndio zinahitajika ukiwa chuo.naamini kungekuwa na mtihani wa mwisho vyuo vikuu watu wangekikimbia UDSM.
 
weweeeee hahaha kojoa kalale tu, utoto unakusumbua.

unadhani vyuo vikuu ni sawa na zile ligi zenu za kike za kiba na diamond?

hahahahaa

unasubiri jina la UDSM likubebe kwa mbeleko, tena kama mwanafunzi mwenyewe ndio wewe ICE MAN 3D mbona ni msiba.
Kijana...
Ahahaaaaaaah...
Acha kufananisha vitu visivyofanana..!
 
udsm??? what is udsm?
Kama ulikosa NAFASI UDSM...
Hautakiwi kuwa na HASIRA..!
Bado una NAFASI...
Kama ulishindwa kusoma wewe JITAHIDI umpige MSASA mtoto wako au ndugu yako yeyote aje asome UDSM..!

bwana mdogo kuna graduates wazuri sana wa mzumbe, makumira na kwingineko.

kuna graduates wazuri pia wa udsm

lakini kuna wabovu pia kutoka sehemu zote.
Then ni vyema mkatoa jibu linaloeleweka kwa mtoa MADA,kuliko kujibu kwa kutumia HISIA zenu..!
Mtoa mada anahitaji kujua kipi chuo BORA kati ya UDSM na Makumira in LLB...
Jibu langu LLB ya UDSM ni bora kuliko vyuo vyote TZ...
Lakini vyuo vingine pia vina graduates bora wa LLB...
Ahsante..!!!
 
Sishangai sana UDSM ipo kisiasa na kihistoria zaidi ndio maana siahangai sana mnavyojikuta wajaanja kumba wa kawaida tuu, wanafunzi kibao tunakutana nao field wa UDSM wala hawana lolote, wote tupo level moja tuu.
Mtoa mada nampa moyo simkatishi tamaa kuna vyuo vizuri sana vinatoa sheria kama University of iringa zamani tumaini au mzumbe.
Achana na hao wanajikuta wajanja kumbe outdated tuu.
Inamaana swali la mtoa mada ni gumu sana kwako mkuu..!?
kama aliyesoma udsm anaringa hivi, je wa havard asemeje.
Au mnataka vyuo vyote tz vifungwe ibak udsm?. Achen ushamba wa kubabaika na mambo ya kawaida, kila chuo kina sifa as long as kimepewa hadhi ya kuwa chuo kikuu
Jibu swali la mtoa mada...
Chuo kipi ni bora katika taaluma ya sheria kati ya UDSM na Makumira..?

Watanzania Tutaelimika Lini?

Mtoa Mada Ameomba Kujua Chuo Kipi Kati Ya Udsm Na Makumira Kina Toa Taaluma Nzuri Ya Sheria.

Wengi Wenu Humu Mmepondeana Vyuo Ambavyo Mmesoma Ama Mtavisoma Au Mmesikia Watu Wakisoma. Kitu Ambacho Ni Bias Na Kinaweza Kutomsaidia Mtoa Mada


Back To The Point Binafsi Kwa LL.B Nzuri Inapatikana UDSM Na Hilo Haina Ubishi Sana. Kutokana Na Ukweli Kwamba Wataalamu Wazuri Wa Kufundisha Sheria Kama Prof. Issa Shivji, Majamba Nk. Ambao Wamesaidia Kuwepo Kwa Wanasheria Nguli Tanzania Wapo UDSM.

In a Nutshell Nenda UDSM Hutojutia.
Inashangaza sana ndugu...
Swali la mtoa mada lilikua jepesi sana...
Ila watu bado wanazunguka tu..!
 
ni kweli kama walivyosema watangulizi wangu hapo juu, ila swala la vyuo kwasasa sio lakulipa kipaombele japo kwa udsm, kidogo kuna ukakasi...
na pia ajira za serikali nowdayz haziangalii umesomea wap, ila kwa ushaur wangu kama uanzo point za kutosha nend udsm kule utafundishwa na maprofesa na madokta, sijui kwa wale wenzetu
 
Tumaini Makumira Katika Ubora Wetu Hakuna Anaemaliza Chuoni Hapa Akiwa Na Chini Ya GPA 3.5 . ALL WE ARE PURE IN NATURE.
Naskia TUMAINI hakuna maprofesa.. Mtu mmoja Aliyemaliza LLB TUMAINI alienda kwenye panel pale law School akawa anababaika babaika alipokutana na maprofesa wa sheria kutoka UDSM wakamuuliza swali,,, IS IT YOUR FIRST TIME TO SEE A PHYSICAL PROFFESSOR??
 
Naomba kujua utofauti na ubora wa kozi za sheria kwa LLB ya UDSM na Tumaini Mkumira kwa ubora, soko ajira na ukubalikaji wake..
Nataka nikasome Bachelors Kwenye chuo mojawapo kati ya hivyo hapo sasa nipo dile
Ma
 
Mtataka sana kuifananisha elimu ya UDSM na mivyuo yenu mingine mliyoisoma /mtakao kwenda kusoma e.t.c
Lakini toka miaka yetu hata sasa UDSM itabaki kuwa chuo chenye hadhi kubwa. Kwenye ajira vyuo vinaangaliwa sana. Ambao wanafanya job selection watakuambia
Tuliosoma UDSM na wadogo zetu wanaoendelea kusoma hapo tutabaki kuwa tofauti. ..kwenye ajira tunauzika
wewe kama sio mwaka wa kwanza basi ni wa pili upo!! maliza chuo uje ujionee
 
wewe kama sio mwaka wa kwanza basi ni wa pili upo!! maliza chuo uje ujionee
Ukisoma vizuri nilichoandika utajua chuo nilishamaliza miaka mingi sana iliyopita wakati Tz bara ina chuo cha UDSM, muhimbili na IDM mzumbe. Na kuchaguliwa UDSM mtaa mzima unajua. Kwani walichukuwa watu cream tu.Pole kama unajisikia vibaya na mivyuo yenu isiyoeleweka hiyo
 
kama aliyesoma udsm anaringa hivi, je wa havard asemeje.
Au mnataka vyuo vyote tz vifungwe ibak udsm?. Achen ushamba wa kubabaika na mambo ya kawaida, kila chuo kina sifa as long as kimepewa hadhi ya kuwa chuo kikuu
Ndugu fuatilia huyo tuna jibizana nini!
Wewe ntakujibu kistaarabu.
Unapo angalia ubora wa chuo kuna vitu vingi sana unacheki
Kuna ,2.input-ambao ndo wanafunzi wanao ingia
2.Process-staff members, how people are tought, kuna ma expert (walimu wa kimataifa)wangapi, kuna international students wangapi, unanangalia ratio ya walimu kwa wanafunzi ikoje
3.Output-una angalia alumini walio pita hapo wangapi ma wamefanya nini baada ya ku graduate, unaangalia chuo kimetoa machapisho mangapi, unaangalia waajiri wanasema vipi kuhusu products za hapo, unacheki machapisho mangapi yametoka hapo na yana fanyiwa kazi, una malizia kwa kuangalia research ngapi zisha fanywa hapo.

Kwa vigezo hivo makumira hawezi kumpita udsm, ukongwe ndio unachangia ndio maana hata UDSM kuipita Makerere ni kazi sana(nadhani haiwezekani), japo ukongwe si sababu pekee

Sasa je kama mtu amewahi kuona watu wa udsm halaf akakuta hawako kama alivo tegemea ni sawa, ila hicho si kigezo cha kushusha ubora wa chuo, amini usiamini hata havard kuna wajinga na hata makumira wanaweza kuwepo wanafunzi wazuri tuu, ila hawawezi kuifanya makumira iipite UDSM.
Kwa kucheki zaidi angalia ranking zozote za vyuo haziwezi kukiweka chuo kingine juu ya udsm, hata kama udsm kidunia inakuwa ya elfu kumi.
Nakubali wtz wote hawawez soma udsm
ACCOUNTANT1
 
Back
Top Bottom