yaani wanavyomponda huyu dogo! Kwani akisema ana first kinachokwaza nini! Dogo yupo sokoni acheni ajitangaze.Lakini na nyinyi acheni dharau. Kwa nini mnabeza hivyo hizo festi klasi za Tumaini? Kwani wanaosoma Tumaini hawawezi kuwa na festi klasi? Acheni dharau zenu hizo. Kusoma UDSM wala si ujiko kihivyo.
Ist class ya Tumaini?nyambaf..ni sawa na pass ya UDSM...maana hicho chuo mnadanganywa mnapewa marks za juu ili kuvutia biashara..
Hapo kwenye Bold hapo...hebu fafanua vizuri, hii ya huyu mama ipoje....mbona yakwake haionekani kuwa yenye tija sana.....? siongei hivyo kwa maana yetu ile ya mfumo dume plzzzzz.Kumbe 1st yenyewe ya Tumaini!.
Hebu naomba usiaibishe heshima ya 1st Class, tangu lini 1st class holder wa sheria akatafuta kazi?. Hii ni dalili hiyo 1st class yako ni ya kupewa tuu ili mboost image ya Tumaini.
UDSM nazijua 1st Class tatu, Dr. Asha Migiro, Prof. Palamagamba Kabudi na Prof. Hamudi Majamba ambaye ya kwake ndio ya mwisho 80's mpaka sasa, more than 20 years Ist Class haijawahi kupatikana tena, hivyo lazima nione ajabu 1st class wa LL.B kutafuta kazi. Very unusual!.
naungana na wewe, ila ndio aje humu jf kutafuta kazi?!. 1st wenzake wote wanaunganisha masters straight forward iweje yeye ahangaike na ajira?!. Unless tangazo hili la kutafuta ajira ni Advirtise kuwa na yeye ni learned brothers/sisters tena mwenye distinction!.Si wote wanapenda kuwa maticha
Hoyce, soma heading yake.

Hapa mimi mbona sioni bango la first class? Ni wapi huyu bwana kajitangaza 1st class?
"Brief tu" maneno zaidi ya elfu tano!. Sasa unategemea nini? kaka sheria ngumu bana.Ugumu wa sheria ni nini hasa?
"Brief tu" maneno zaidi ya elfu tano!. Sasa unategemea nini? kaka sheria ngumu bana.
Brief = summary =muhtasari=ufupisho.Ugumu wake ni maneno zaidi ya elfu tano? Sijakuelewa aisee. Hebu fafanua
Sawa, lakini usiseme wakali wote undergraduate wanategemewa wabaki au lazima wabaki kuwa maticha college. Hizo scholarship za masters sio lazima uwe na distinction kuzipata, uongo? So, mjanja hawezi necessarily kuvutiwa na u-ticha wa University of Dar-es-Salaam badala ya kwenda mtaani kuwa established advocate au kazi nyingine.naungana na wewe, ila ndio aje humu jf kutafuta kazi?!. 1st wenzake wote wanaunganisha masters straight forward iweje yeye ahangaike na ajira?!. Unless tangazo hili la kutafuta ajira ni Advirtise kuwa na yeye ni learned brothers/sisters tena mwenye distinction!.
KUKU KUKU TU JOGOO JINA,UDSM ZAMANI, SIKU IZI WA2 KUTOKA VYUO VINGINE WANAKIMBIZA... ALAFU WANAOKUWA NA LIFE ZURI UWA NI WA VYUO VINGINE NA NDIO WAJANJA, ILA WA UDSM KIUKWELI WENGI WAO NI WALUGA LUGA YANI WAKUJA, WASHAMBA.. "samahani kwa maneno yangu yanye ukweli ndani yake"natafuta Kazi graduate frm Tumaini Very talented in law practice
dharau hazifai waungwana1st class unatafuta kazi namna hiyo!tena ya Tumaini...ni sawa na form six pcm.
acha urongo wewe, umekimbiza nin na umemkimbiza nan hapo UDSM?Jamani vitu vimebadilika. cku hizi hakuna how you perform it is just who knows you.

kama kuna mtu anaweza kumsaidia amsaidie tu. mimi mwenyewe nimemaliza UDSM nilikua nakimbiza balaa kuanzaia primary mpaka chuo.

lakini no body cares nipo hm.
We need a smart lawers ( a lawers that win cases ) and not a first class lawer (lawer who know laws)
hapo ndiyo ukubali kwamba 1st class kimeo, akili za kuambiwa changanya na zako.nimeaply SAUT wamentosa wanataka wamemchukua mtu ana 3.6 wa UDSM du kazi ipo UDSM PIA WAMENTOSA KUFUNDISHA Kabudi kantolea Nje
Du! mwanangu ulikuwa kipanga kweli weye.
natafuta Kazi graduate frm Tumaini Very talented in law practice
Kijana sasa na wewe unalilia upewe 1st class kwa staili hiyo au,maana ujui hata unachokiandika hapo.We need a smart lawers ( a lawers that win cases ) and not a first class lawer (lawer who know laws)