Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Asanteee...Nimepitia blog yake...imekaa vizuri.
Niko hapa Bebii...lizzy kweli upo wapi?
Angalia uone bana....Ngoja niicheki hiyo blog.
Ina nin lakini?
Hahahaha...haya bana!!Dah mtu wangu utafikiri we ni mtu wa masoko (marketing)..... yaani ulitutengenezea scarcity hahahaha
Naamini umerejea kwa kasi ya ajabu zaidi ya JK.....
Nimefurahi kukuona!!!!
Ila we kasi ya JK hata konokono anamshinda....so mimi zaidi!!!