Lizzy

Salimia

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
665
103
Wakubwa samahanini sana nauliza tu huyu mtu Lizzy yuko wapi siku hizi? Alikuwa ananibariki sana na uwepo wake humu na sijamuona kitambo kidogo. Mwenye data anijuze maana huenda mwenzetu ame "ngo" tayari sisi tunacheka tu. Uta "ngo" na wewe
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,951
287,542
...labda majukumu yamekuwa mengi, ila nilimuona hapa siku chache zilizopita.
 

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
43,200
25,626
Huwezi kujua unaweza kukuta mume wake kamkataza kuingia JF.

Wanaume wengine wana wivu sana
 

Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
10,735
5,613
Mkuu umejaribu kupitia kwenye blog yake kama isemavyo hapo juu.., sometimes mambo yanakuwa mengi na mtu unatingwa na kupotea si unajua tena mkuu !!!

Mi nahisi shughuli zimembana tu manake hata kwenye blog yake alituacha sana ila niliiona kaupdate!! Hope soon tutakua nae!!
 

Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
26,525
37,803
Wakubwa samahanini sana nauliza tu huyu mtu Lizzy yuko wapi siku hizi? Alikuwa ananibariki sana na uwepo wake humu na sijamuona kitambo kidogo. Mwenye data anijuze maana huenda mwenzetu ame "ngo" tayari sisi tunacheka tu. Uta "ngo" na wewe

Salimia itabidi nikudondoshee namba zangu next time unipigie kabisa!!

yuko marangu

Machame bana....

huyu mtu ata AshaDii kamuulizia leo asubuhi anatafuta hela ya bundle..

Hahahaha...nilikua nimepigwa ban kwenye cafe niliyozoea na kwingine kote hawakopeshi!

mi mwenyewe nilimpm lakini hamna majibu.hii hali inanishtua sana.hakua hivi.
Lolzzz...kaaazi kweli kweli!!

huyu mtu hakuwa hivi, yaani apotee mwezi mzima?? kuna kitu lazima si bule
Na kweli si bure....
 

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,360
11,568
salimia itabidi nikudondoshee namba zangu next time unipigie kabisa!!Machame bana....Hahahaha...nilikua nimepigwa ban kwenye cafe niliyozoea na kwingine kote hawakopeshi!


Lolzzz...kaaazi kweli kweli!!


Na kweli si bure....
lizzy kweli upo wapi?
 

jouneGwalu

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
2,683
1,724
Salimia itabidi nikudondoshee namba zangu next time unipigie kabisa!!Machame bana....Hahahaha...nilikua nimepigwa ban kwenye cafe niliyozoea na kwingine kote hawakopeshi!


Lolzzz...kaaazi kweli kweli!!


Na kweli si bure....

Dah mtu wangu utafikiri we ni mtu wa masoko (marketing)..... yaani ulitutengenezea scarcity hahahaha
Naamini umerejea kwa kasi ya ajabu zaidi ya JK.....
Nimefurahi kukuona!!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom