Liz Truss: Ushindi kwa Ukraine unawezekana, lazima ashinde na atashinda, tupo pamoja naye kwa kipindi chochote vita itakachochukua

Messenger RNA

JF-Expert Member
Jul 24, 2022
1,102
3,023
Waziri mkuu wa uingereza amesema haijalishi vita itachukua muda gani lakini uingereza itasimama na Ukrene bega kwa bega kwa hali na mali huku misaada ya kijeshi itaendelea kupelekwa kyiv bila kujali urusi anatoa vitisho gani,Waziri mkuu huyo amemalizia kwa kusema ukrene lazima ashinde vita kwa kuwa uwezekano wa kushinda upo na atashinda hakika.

BBC.

Screenshot_20221005-143932_Chrome.jpg
 
Mimi pia nitaendelea kuiunga mkono Ukraine kuigania Ardhi yake no.matter what na bila kujali vita itachukua muda gani

Ukraine wanapigania Ardhi yao halalikabisa dhidi ya uvammizi wa mrusi nasimama hadi mwisho

Mungu wabariki waingereza kusimama na Ukraine
 
Waziri mkuu wa uingereza amesema haijalishi vita itachukua muda gani lakini uingereza itasimama na Ukrene bega kwa bega kwa hali na mali huku misaada ya kijeshi itaendelea kupelekwa kyiv bila kujali urusi anatoa vitisho gani,Waziri mkuu huyo amemalizia kwa kusema ukrene lazima ashinde vita kwa kuwa uwezekano wa kushinda upo na atashinda hakika.

BBC.

Maneno ya kukata tamaa haya na Ilichobaki ni kuwafia moyo tu Ukraine
 
Mimi pia nitaendelea kuiunga mkono Ukraine kuigania Ardhi yake no.matter what na bila kujali vita itachukua muda gani

Ukraine wanapigania Ardhi yao halalikabisa dhidi ya uvammizi wa mrusi nasimama hadi mwisho

Mungu wabariki waingereza kusimama na Ukraine
Nyoookooo..kwa nn husimami na wapalestina wanauawa kila siku na kupokonywaa ardhi yao na wale wasenge wakijerumani na kituruki pale israel?? Wanajiita taifa teule..pumbavuu zao na kumbe ni wasenge tu wakijerumani na kituruki palee
 
Mtume mnyazimngu mbona hawatetei? Acha matusi we mlawiti.
 
Kuna watu humu wanasema wapo na Ukraine lakini Urusi ikivurumisha ICBM wenyewe wamebong'oa wakibamizwa na ile yenye isiyo na mabega huku Ukraine ikiungua kivyake
 
A

Ajaribu aone moto atakaopelekewa...mwenyew c mjinga aingie mkenge kiboya ivo...keshaona nchi nying hazimuungi mkono imebid apigepige kelel tu kama mbwa aliefungiwa getini
 
Hizi ndo nchi sasa yani alipo ishia mwenzako mzigo una endelezwa vile vile ,sio uku gizani kila mtu ana kuja na yake mwisho wa siku hamna kinacho endelea
 
Back
Top Bottom