mjomba wa kale
JF-Expert Member
- Jan 18, 2012
- 266
- 56
Hivi Lusinde nae ni wa kusikilizwa? Ndio maana CCM inachukiwa ni kwasababu ya watu kama hao
Kama ni kweli, basi Mh.Lusinde kauli za maneno yako siku si nyingi zitakurudi, KARMA Inahakikisha ecosystem na cosmos zipo salama, umenielewa mheshimiwa??? ??
Ninako mkuu ila namna ya kukaweka ndo mtihani. CCM ilinisomesha kayumba
nimecheka bila kuwa na raha..eti popo anataka amnyee Mungu then kinyesi kinamrudia??haha ha ha!!! hii sasa kali isiyolewesha.
Akiwa ameambatana na mgombea mwenza wa urais kule Bagamoyo kwa tiketi ya CCM mama Samia Suluhu, ndugu Lusinde ametumia muda wake wote kutoa matusi dhidi ya wanaUKAWA.
(1)Amesema Lowassa anatembea kama Robot na hawezi kutoa hotuba zaidi ya dakika 2
(2)Amesema Sumaye in kama Popo. Ametoa hadithi ya popo kwamba alikasirika kwavile ameumbwa kama ndege na kama mnyama. Hivyo ndo maana akaamua kuwa anasimama miguu juu kichwa chini ili amnyee mungu. Lakini kwa Bahati mbaya hiyo haja kubwa inamdondokea popo mwenyewe. Na akasema matusi ya Sumaye kwa ccm yatamrudia mwenyewe.
(3)Amesema ccm imejali jinsia ya kike kwa kumuweka Samia kuwa mgombea mwenza. Akasema kwa kuwa Chadema waliwahi kuwatuhumu CUF kuwa wanaunga mkono ushoga, yawezekana mmoja wao kati ya Duni na Lowassa ni mwanamke.
Lusinde ametumia dakika 10 zote alizopewa kuongelea UKAWA tu.
Lakini pia MAkonda, Wema na Ridhiwani walikuwepo lkn hakuna LA maana waliloongea.
nasema hivi acha watukanwe tu malofa na wapumbavu hao wa ukawa maana hakuna namna.. NAMUUNGA MKONO LUSINDE
Hivi huyo Lusinde kwa kifupi si anaitwa Lucy?Akuelewe? We unamwona yuko sawa?
Hivi huyo Lusinde kwa kifupi si anaitwa Lucy?
Anaposema.Ukawa wameteua wanaume tu hivyo may be mmoja ni mwanamke anamaanisha Magufuli na Samia watakuwa wanafanyana.Duh aisee Samia kama ana Mume basi namuone huruma huyo mume.Pia Magufuli naona kapata mchepuko.