Livingstone Lusinde awaporomoshea matusi wanaUKAWA

Livingstone Lusinde awaporomoshea matusi wanaUKAWA

lema hatukani?
mbowe hatukani?
fake pastor msigwa hatukani?
mvuta bange sugu hatukani?
kijana dhaifu mnyika hatukani?
kubwa jinga a.k.a ZERO SUMAYE hatukani?

Kumbe ugambani sasa ni MATUSI tu hamna sera. Anza na Mkapa, Mwigulu, Lusinde etc. nauliza hivi UKAWA wakirudishia itakuwaje???!
 
NEC itoe onyo kwa ccm/lusinde kwa ukabila wake,amesisitiza wamchague magufuli msukuma waache wa Arusha kwa sababu wamependelewa mara mbili uwaziri mkuu.
 
lema hatukani?
mbowe hatukani?
fake pastor msigwa hatukani?
mvuta bange sugu hatukani?
kijana dhaifu mnyika hatukani?
kubwa jinga a.k.a ZERO SUMAYE hatukani?

Hawa unaowataja hawakuwahi kumtukana mtu. Daima wamekuwa wakikosoa na kuonyesha udhaifu na mapungufu ya serikali ambayo ndio kazi ya wapinzani. Sasa kama wewe unaona kukosolewa ni MATUSI basi tuna tofautiana uelewa

Mkapa kwa heshima na umri wake hakustahili hata kuwaza hayo MATUSI
 
UKAPIMWE AKILI WEWE maana hao unawatetea as if waume zako, kwa hiyo yale matusi wanayotukana wewe unaona ni ukosoaji? lazima utakuwa ni MPOFU wa fikra wewe au unatumia makalio kufikiri, maana umeona UPUMBAVU NA ULOFA ni tusi wakati hiyo ni HALI YA VIJANA NA VIONGOZI WA UKAWA..

HIVI KUSEMA #LOWASA_NI_MGONJWA NI TUSI KWELI? SI NDIO UKWELI WENYEWE HIVYO MZEE MKAPA ALIPOSEMA WANAJIITA VYAMA VYA UKOMBOZI NI #MALOFA_NA_WAPUMBAFU HAYAKUWA MATUSI BALI NDIO HALI ZENU HIZO NINYI MALOFA NA WAPUMBAFU

Back
Top Bottom