Livingstone Lusinde awaporomoshea matusi wanaUKAWA

Livingstone Lusinde awaporomoshea matusi wanaUKAWA

Hatuna muda na matusi yake mada hapa mtafanyia nini Tanzania baada ya kushindwa miaka 50
 
Ati weka kapicha. Hivi kweli hamuoni hata aibu kumjadili Lusinde. Huyo ni taahira na HAKIKA Mtera wana bahati mbaya. Siku walipologwa wakamchagua, matumaini yao yalienda na maji. Lusinde ni laana hata kumsikiliza tu unalaanika.
Kwa ccm huyo ni zari. Hawana kilichobaki bali kutukana tu. Mama wa watu ndo pekeyake amebaki kukisemea chama chake, Magufuli kujisemea mwenyewe atii; Nichagueni mimi. Hathubutu kutamka ccm mdomoni mwake kwani anajui kuwa hiyo ni shubiri kwa Watz.
 
Akiwa ameambatana na mgombea mwenza wa urais kule Bagamoyo kwa tiketi ya CCM mama Samia Suluhu, ndugu Lusinde ametumia muda wake wote kutoa matusi dhidi ya wanaUKAWA.

(1)Amesema Lowassa anatembea kama Robot na hawezi kutoa hotuba zaidi ya dakika 2
(2)Amesema Sumaye in kama Popo. Ametoa hadithi ya popo kwamba alikasirika kwavile ameumbwa kama ndege na kama mnyama. Hivyo ndo maana akaamua kuwa anasimama miguu juu kichwa chini ili amnyee mungu. Lakini kwa Bahati mbaya hiyo haja kubwa inamdondokea popo mwenyewe. Na akasema matusi ya Sumaye kwa ccm yatamrudia mwenyewe.
(3)Amesema ccm imejali jinsia ya kike kwa kumuweka Samia kuwa mgombea mwenza. Akasema kwa kuwa Chadema waliwahi kuwatuhumu CUF kuwa wanaunga mkono ushoga, yawezekana mmoja wao kati ya Duni na Lowassa ni mwanamke.
Lusinde ametumia dakika 10 zote alizopewa kuongelea UKAWA tu.
Lakini pia MAkonda, Wema na Ridhiwani walikuwepo lkn hakuna LA maana waliloongea.
 
Huyu lusindi hanaga akili
 
Kesi hiyo imetupiliwa mbali kakuwa haina ushahidi kooooot!!!!

Nimetuma kwa whatsapp NAMBA ya mchangiaji hapo juu ambaye ametupia namba. Kama vipi afanye Uploading ya hiyo audio iende NEC. Mimi ujuzi wangu mdogo
 
ccm mjue kabisa kuwa unabii karibia unatimia tangia Uhuru haijawaitokea mgombea wa ccm akajinadi kama mgombea binafsi,eti changua magufuri,siyochagua ccm.hivi Mimi nahisi arufu ya kifo cha ccm,ambae haamini ikifika tarehe 26/10/2015 anibeep nitampigia ili anipe matokeo.
 
Huyo kibajaji cha Mtera cha muhimu tukachukue lile Jimbo tarehe 25 oct ili nimwajiri kuchunga mbuzi wangu kule Ukerewe
 
Kama ni kweli, basi Mh.Lusinde kauli za maneno yako siku si nyingi zitakurudi, KARMA Inahakikisha ecosystem na cosmos zipo salama, umenielewa mheshimiwa??? ??

Akuelewe? We unamwona yuko sawa?
 
Kati ya lowasa na duni mmoja ni mwanamke ??? Aisee huku ni kuvuka mipaka ,this is not right
 
nimecheka bila kuwa na raha..eti popo anataka amnyee Mungu then kinyesi kinamrudia??haha ha ha!!! hii sasa kali isiyolewesha.
 
Back
Top Bottom