rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,321
- 26,194
kuna mengine ya ukweli kama lowasa kutembea kama robot wote tunamwona hilo sodhani kama tusi
Hili la mgombea mwenza wa UKAWA kuwa nanihiii linajiruda rudia.
Litolewe ufafanuzi jamani. Mbona mnatuchanganya????
Queen Esther
Hawa kwa kunweka Lusinde kwenye timu ya kampeinu yao ni sahihi kwamba hawana watu wa kutumia tena na yaliyotokea kwenye jimbo la dogo janja yatatokea kwa rais mwaka huu.nasema hivi acha watukanwe tu malofa na wapumbavu hao wa ukawa maana hakuna namna.. NAMUUNGA MKONO LUSINDE
Akiwa ameambatana na mgombea mwenza wa urais kule Bagamoyo kwa tiketi ya CCM mama Samia Suluhu, ndugu Lusinde ametumia muda wake wote kutoa matusi dhidi ya wanaUKAWA.
(1)Amesema Lowassa anatembea kama Robot na hawezi kutoa hotuba zaidi ya dakika 2
(2)Amesema Sumaye in kama Popo. Ametoa hadithi ya popo kwamba alikasirika kwavile ameumbwa kama ndege na kama mnyama. Hivyo ndo maana akaamua kuwa anasimama miguu juu kichwa chini ili amnyee mungu. Lakini kwa Bahati mbaya hiyo haja kubwa inamdondokea popo mwenyewe. Na akasema matusi ya Sumaye kwa ccm yatamrudia mwenyewe.
(3)Amesema ccm imejali jinsia ya kike kwa kumuweka Samia kuwa mgombea mwenza. Akasema kwa kuwa Chadema waliwahi kuwatuhumu CUF kuwa wanaunga mkono ushoga, yawezekana mmoja wao kati ya Duni na Lowassa ni mwanamke.
Lusinde ametumia dakika 10 zote alizopewa kuongelea UKAWA tu.
Lakini pia MAkonda, Wema na Ridhiwani walikuwepo lkn hakuna LA maana waliloongea.
Hili la mgombea mwenza wa UKAWA kuwa nanihiii linajiruda rudia.
Litolewe ufafanuzi jamani. Mbona mnatuchanganya????
Queen Esther
Hihihi Hihihi- sasa kama Mgombea Mwenza ni nanihiiii sasa hawa UKAWA wakichaguliwa hawa si wataupitisha Unanihiii uwe rukhsa kisheria hawa??????
Unapoona dume linajiita queen ni lazima ujue kuwa watu wanafungua buti ya vickswagen hapo!
mimi naona kwanza LUSINDE hajatukana mtu bali ameeleza ukweli tu... hizi ni uongo LOWASA KUTEMBEA KAMA ROBOT? hili halina ubishi wala mjadala hata mimi kuna muda huwa nadhani robot linaongea maana huwa hainui japo shingo wakati akiongea #LUSINDE_WAPE_VIDONGE_VYAO



Ninako mkuu ila namna ya kukaweka ndo mtihani. CCM ilinisomesha kayumba
Nini ROBOT hata akitembea kama KAA wa baharini. Sisi ndiye tunamtaka awe Rais wetu.
UKAWA ni juu.
View attachment 285636
View attachment 285637
View attachment 285638
View attachment 285639
View attachment 285640
View attachment 285641
View attachment 285643
View attachment 285644
View attachment 285645
View attachment 285646
View attachment 285647
View attachment 285648
View attachment 285649
View attachment 285650
View attachment 285651
View attachment 285652
View attachment 285653
View attachment 285654
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!
Hawa kwa kunweka Lusinde kwenye timu ya kampeinu yao ni sahihi kwamba hawana watu wa kutumia tena na yaliyotokea kwenye jimbo la dogo janja yatatokea kwa rais mwaka huu.
huenda na wazazi wako pia wamo katika kundi hilo kama sio mama yako basi baba yako au shangaz au mjomba wako na ninaamin umeshikiwa akili wewe