LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,496
- 3,389
Last edited by a moderator:
Madame B kaingiliwa na mdudu jamani. Mdudu mkubwaaaaa kamwingia jichoni
Kama ilivyo bagi na bila shaka ni uwelewa wako tu!
yani wewe umekuja bongo halafu wamekuhifadhi
LTHP kimya kimya bila hata kutoa matangazo
Best utanisamehe bure tu kwani Kamanda Mtambuzi nilijua aliwaambia ila nitakutafuta.
nitafuraihije? kuonana live na mbunge wa simanjiro!!
wenye bahati si ndo sisi jamani hureeeeeeeeeeeeeee
nasubiri kwa hamu siku hiyo yani we acha tu!!
anapenda banana huyo?????? sijui zipo?
yani wewe umekuja bongo halafu wamekuhifadhi
LTHP kimya kimya bila hata kutoa matangazo
ladyfurahia kwani hukuisikia parapanda ya kwenda kumpokea LiverpoolFC?
mmmmbado!!
LiverpoolFC yeye hapandi commercial flights, anatumia private jetsikusikia huku kwetu mtambo wa tigo ulikwama halafu
kulikuwa na honi nyingi sana pale hospitalini kwani
mbunge sugu alikuwa anakimbizwa hosp alipata hitilafu
leo tena ipo au ndo ameshapanda dude la FASTJET?
Madame B, Bujibuji, LiverpoolFC, amu, Kipaji Halisi, Mmeamkaje bandugu..............!!!!!!
Mwenzenu jana home kimenuka mbayaaaa,
Nitawasimulia akili ikitulia