Liverpool ndani ya LEO TUPO HAPA PUB.

Liverpool ndani ya LEO TUPO HAPA PUB.

Dah! Msikae izani kuna mengi si hayo tu,,asante ndio ukubwa huu,cha kushukuru tushafanikisha shughuli nzima.

Chimbuvu, Madame B kaingiliwa na mdudu. Mdudu kapita huku chini akaibukia jichoni. Meza yake iko gizani sana.
Nasikia una matatizo mkuu, pole sana, tuko wote kwenye kipindi hiki kigumu
 
Last edited by a moderator:
Nasikitika asilani,kutwa nzima moyo unanidundadunda,ninasaga rhumba, ukimuona Madame B ukimuona
jamani marafiki,marafiki wabaya tena wengi wabaya ooohhh yeaaa mmhhh

Kwani bado unanitaka.
 
Last edited by a moderator:
Nasikitika asilani,kutwa nzima moyo unanidundadunda,ninasaga rhumba, ukimuona Madame B ukimuona
jamani marafiki,marafiki wabaya tena wengi wabaya ooohhh yeaaa mmhhh

Eti moyo wakudunda? Pole!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom