Oyaaa, acha upuuzi wa kupanga basi talents are to be seen...acha uoga pambafff
Oyaaa, acha upuuzi wa kupanga basi talents are to be seen...acha uoga pambafff
Mmetoa draw kwenu halafu mnshangilia , siwaelewi hata kidogo
Joao Carlos Teixeira...
We are going to Wembley!!
unachekesha ndugu...tangu lini ukashinda stamford
Hatushangilii draw bali tujashangilia jinsi mlivyokuwa mnautafuta mpira kwa tochi
Mid table teams ....
Mid table team iliyokushinda kwa point league iliyopita ehehehehehe
Joao Carlos Teixeira...
Kipaji anacho ila nahisi yatamtokea yaleyale ya Suso