King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,461
- 7,456
Huyu mpumbavu Carragher ni adui namba moja wa mpira, ila kwakuwa n raia wa UK hakuna mtu atasema hilo.Katika kushabikia kwangu mpira Arsenal ilikua tukikutana na Liverpool ilikua nahofia uwepo wa Salah na Mane. Halafu. Baadaye ikawa nahofia uwepo wa Salah sijawahi mhofia Van Dijk au Matip.
Carragher ni mpuuzi. Na ni yeye ndiye alisema mashindano ya Afrika hayana maana
Acha ukuda..Leo point 3 muhimuNa leo tena mlambwe
Niliongea mapema kuhusu kichwa mviringo ๐คฃ๐คฃSalah is right
VVD na Konate wanatuulisha kila mechi lakini kwanini tatizo lionekane kwa Salah tu?
Kichwa mviringo aache upuuzi ๐ฎ๐ฎ
Sawa, tupo.Acha ukuda..Leo point 3 muhimu
Yule ni mholanzi kwahyo kichwa mviringo anambeba.Mnambebesha Salah tu lawama, Hata Gakpo cjawahigi kujua anacheza nini uwanjani. Mpk mje mshtuke na yeye ni mfanyakazi hewa mtakua mmeshachapika sana.
Kumbuka Curtis Jones ni Winger leo ๐คฃ๐คฃ๐คฃAcha ukuda..Leo point 3 muhimu
Naamini umeshuhudiaSawa, tupo.