Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mwenye link ya game tafadhali share maana huku kwetu DSTV imegoma kufunguka toka asubuhi ilivyolipiwa.
 
Au mwenye kufahamu app inayoonesha online nipe jina mkuu
 
Narudia tena mpaka sasa Kerkez sijaona kuwa ni upgrade ya Robertson.

Naendelea kusubiri kuona maendeleo yake pengine mfumo wa Liverpool bado hajauadapt
 
MPk sasa sajili inayofanya vizuri ni ya FRIMPONG ebhana ule upande tumepata dume.
Kerkez namfananisha na yule private ryan wa kwenye movie ya "SAVING PRIVATE RYAN". Kerkez bado nadhani na umri na stamina bado havijakaa pamoja.
 
Private Ryan anatafutwa halafu hajui kama anatafutwa
 
Private Ryan anatafutwa halafu hajui kama anatafutwa
Ahaha anapatika anaambiwa rudi nyumbani mama yako anakuhitaji maana kaka zake wote wengine wamekufa duniani mama kabakiza mtoto mmoja tu ambaye ni yeye , Dogo anakataa kurudi nyumbani anataka kutekeleza order aliyopewe.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…