Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,606
- 81,642
SLot kamuacha Grav eti kisa kapata mtoto janaMapungufu ya leo
- Hatuna Defensive midfielder kabisa
- CBs zimechoka zipo chini ya viwango
- Baada ya kutoka Ekitike hatukuwa tena na mshambuliaji
Hivyo tunamhitaji Isack kwa sasa kuliko kitu chochote
This is not thr right languageSafi sana umbwa nyie
Mind your business boeThis is not thr right language
Livakuku katandikwa amepagawa, Eti tunamtaka isack kuliko kitu chochote 😄😄Mapungufu ya leo
- Hatuna Defensive midfielder kabisa
- CBs zimechoka zipo chini ya viwango
- Baada ya kutoka Ekitike hatukuwa tena na mshambuliaji
Hivyo tunamhitaji Isack kwa sasa kuliko kitu chochote
CcmThis is not thr right language
Kaka nipe code za mikeka [emoji1488]
Hizo ramli huu ni mpira sio kupiga ramliNitakupa references
Tangu mwanzo wa zama za Premier League (1992–93), timu 8 kati ya 33 zilizoshinda Community Shield zimethibitisha pia ushindi wa Ligi Kuu msimu huo huo — ni chini ya robo ya timu zote.
Pia, katika misimu 13 uliopita, tu moja kati ya timu zilizoshinda Community Shield imefanikiwa kushinda Ligi — hiyo ilikuwa Manchester City mwaka 2018–19.
Kwa kifupi: ushindi wa kwenye Community Shield si kiashirio cha mafanikio msimu mzima wa Ligi Kuu. Ni idadi ndogo sana ya timu zinazoweza kufanya double (Community Shield + Premier League) msimu huo huo.
NITAKUPA SABABU TANO WHY this is possible and afterall this is what we call real coincidence
Pazia lenu linachungulia kwa mbaaali
KwendaaaaNitakupa references
Tangu mwanzo wa zama za Premier League (1992–93), timu 8 kati ya 33 zilizoshinda Community Shield zimethibitisha pia ushindi wa Ligi Kuu msimu huo huo — ni chini ya robo ya timu zote.
Pia, katika misimu 13 uliopita, tu moja kati ya timu zilizoshinda Community Shield imefanikiwa kushinda Ligi — hiyo ilikuwa Manchester City mwaka 2018–19.
Kwa kifupi: ushindi wa kwenye Community Shield si kiashirio cha mafanikio msimu mzima wa Ligi Kuu. Ni idadi ndogo sana ya timu zinazoweza kufanya double (Community Shield + Premier League) msimu huo huo.
NITAKUPA SABABU TANO WHY this is possible and afterall this is what we call real coincidence
Nilichofurahia ni kuona kuwa mid-table team inaweza kukomaa na kwenda na nyie sambamba na kuwapiga comeback ya kufa mtu. Timu zingine zikiona hivi na zenyewe zikiwaamulia, mambo huenda yakawa mazuri kwetu.