Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,482
- 32,939
Mwalimu wangu ni wewe Wala Sina mwingine ujueπ₯π₯π₯π₯π₯Mwalimu kakufundisha hadi 'ng'o'
Akiyanani apewe tuzoπππππ
Ila sasa mbele unakuja kuchemka vitu kidogo vidogo kama 'da ' na 'nda'
Palipobakia animalizie mimi kukufundisha
Hivi kweli Mona hainekani au anasubiri Ligi msimu mpya uanze.Manyanza anaupiga mwingi.
Mona toka tumsifie humu kuwa anajua mpira
Ameona apotee tu ili tuanze kumwitamwitaπ
Mona App yake I mean account yake ilimzingua,inagoma kufungukaHivi kweli Mona hainekani au anasubiri Ligi msimu mpya uanze.
Kwa sasa Manyanza anakufaa kukupa ma news hot hot
YNWA
πππππMwalimu wangu ni wewe Wala Sina mwingine ujueπ₯π₯π₯π₯π₯
YNWA
π€π€π€π€Bila shaka wamekusikia. Akiwepo The Mona na pale Manyanza aa utapata full nondo hapa hakuna kupoa....
π₯π₯π₯π€π€π€Nipo hapa denti wako mtiifu ujue π€π€πππππ
Hee
Kiswahili chote hiki hapana sijakufundisha Mimiππ
Siku hizi hupoi huboi
Unaandika kiswahili mwanzo mwisho hadi tumeanza kukuona mswahiliππ
Nasubiri ujichanganye na maneno yako sehemu ya M huweki na sehemu ya kutokuweka we unawekaππππ₯π₯π₯π€π€π€Nipo hapa denti wako mtiifu ujue π€π€
YNWA
Maxence Meloπ€π€π€π€Bila shaka wamekusikia. Akiwepo The Mona na pale Manyanza aa utapata full nondo hapa hakuna kupoa....
YNWA
Ameshindwa kuwasiliana nasi?
Ujumbe tutamfikishiaAmeshindwa kuwasiliana nasi?
Kuna email option, anaweza kututafuta tumsaidie haraka.
Atume: support at jamiiforums.com
π€£π€£π€π€π€π€π€π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kumbe umekaa kimtegotego yaani wewe tangu asepe Kelleher na TAA mmmmmmhNasubiri ujichanganye na maneno yako sehemu ya M huweki na sehemu ya kutokuweka we unawekaπππ
Hivi boss Melo wewe ni timu gani?Ameshindwa kuwasiliana nasi?
Kuna email option, anaweza kututafuta tumsaidie haraka.
Atume: support at jamiiforums.com
Kama ni ya BLUE, basi itakuwa ndo hiyo πUtakuwa Liver bila shaka π
Aje tulie pamoja msiba mzito wa Jota
Unatuangusha tajiriiπKama ni ya BLUE, basi itakuwa ndo hiyo π
Kuna tofauti kubwa kati ya Bingwa wa Dunia na yule wa EPL au UEFA.The blues maloser hawashindagi EPL na UEFA
Upewee BanπUnatuangusha tajiriiπ
The blues maloser hawashindagi EPL na UEFA
Licha ya kusajili bus zima la wachezaji
We kombe ni EPL na UEFA,hayo mengine masinia siyo kombeπππKuna tofauti kubwa kati ya Bingwa wa Dunia na yule wa EPL au UEFA.
π
Sema kweli vile?Makombe ya kiume ni hayo mawili
FIFA's limit of two clubs per country, combined with a qualification system based on UEFA Champions League performance over the last four seasons