Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,466
- 32,913
Kama tetesi hizi tajwa dirisha hili zikifanyiwa kazi zikawa kweli basi tuna kikosi kamili ndugu yangu na pazuri asilimia kubwa wanaotajwa wapo chini ya miaka 25 hivyo Wana nafasi kubwa sana kutuletea makombe kwa miaka kadhaaHeshima imerudi kwa wawekezaji! Wametisha msimu huu! Tuliyapondea sana kumbe yanatu-zoom tu!
Ka TAA katakuwa kamepishana na gari la mshahara!Kama tetesi hizi tajwa dirisha hili zikifanyiwa kazi zikawa kweli basi tuna kikosi kamili ndugu yangu na pazuri asilimia kubwa wanaotajwa wapo chini ya miaka 25 hivyo Wana nafasi kubwa sana kutuletea makombe kwa miaka kadhaa
Tuwe na subira FSG wampe kikosi kazi bwana Slot.
YNWA
Ila kwenye nafasi ya DM kimya sanaaaaKama tetesi hizi tajwa dirisha hili zikifanyiwa kazi zikawa kweli basi tuna kikosi kamili ndugu yangu na pazuri asilimia kubwa wanaotajwa wapo chini ya miaka 25 hivyo Wana nafasi kubwa sana kutuletea makombe kwa miaka kadhaa
Tuwe na subira FSG wampe kikosi kazi bwana Slot.
YNWA
Hapana Mkuu Szbo asihame namba. Ipo hivi Szbo hucheza MF upande wa kulia kwa Salah na Florian hucheza MF upande wa kushoto kwa Diaz hivyo nilimaanisha magoli sasa yatatoka upande wa kushoto pia ambapo msimu uliopita alicheza ni Jones au Mac. Nilimtaja Salah pale nilimaanisha tumpunguzie mzigo wa kuibemba timu muda mwingi ilhali sasa tutakua na Florian ambae ni mtengenezaji na mfungaji hivyo Salah hata akibanwa kama mechi ya PSG basi tunakua na plan B.Sijakuelewa mkuu unamaanisha Szoboszlai awe force 9? Au awe Winger ?.
Mimi pia hili nilikuwa naliwaza la Szoboszlai Na Wirtz Arne itakuaje kwake, anyway msimu ujao tuna makombe mengi tunahitaji tushinde squad lazima iwe pana na ya kutisha kwa wapinzani mpk wa Carabao.
Ni kama vile mwalimu anakomaa na Grave na ina make Sense kwa kua sasa anampata Florian akileta DM ina maana tutakua na attacking MF 6 Florian, Macca, Grave, Szbo,Jones, Elliott.Ila kwenye nafasi ya DM kimya sanaaaa
Kasepe tu kakajaribu maisha kwingine ule uzembe Kule hawavumilii maana kuna muda unakaona kabisa kanatembea uwanjani huku tunashanbuliwa ama kupiga pasi kipofu yaani watakanyoa live Kule.Ka TAA katakuwa kamepishana na gari la mshahara!
Mbona kafanana na Villa boas?
Giovanni van Bronckhorst anatarajia kujiunga Liverpool kama kocha msaidizi wa Slot.Mbona kafanana na Villa boas?
Aise mbona umri unakimbia sana
Naona aise,, kitu pekee ambacho kinafanya nimuamini Slot ni kwamba anadai hajatumia bado mfumo wake alikuwa bado anamtumia Klopp . Sasa kama mfumo wa Klopp kaumaster inamaana huyu mtu ni pro Genius(Slot+ klopp), itategemea Opponent kaja vipi. Msimu ujao tutaua Mbu kwa Gobole.Giovanni van Bronckhorst anatarajia kujiunga na jopo la wasaidizi wa Slot.
Hapa Slot anapata jembe haswa.
Naona Ile kazi ya Rangers imemzeesha balaa.
YNWA
Huyu pale City aliomba apewe assuarance kuhusu future ya Pep, wakamzungusha ndipo akachagua Liverpool.View attachment 3367370
Kijana ametua kwa mkwaja wa maana.
Alipewa muda wa kuongea na washindani wetu Bayern Munich, Manchester City nk mwishowe akasema ni Liverpool tu na sio wengine hakika amefanya chaguo sahihi.
YNWA
Any talented player hua anaangalia future ya kocha aliepo na Pep miguu ndani miguu nje.Huyu pale City aliomba apewe assuarance kuhusu future ya Pep, wakamzungusha ndipo akachagua Liverpool.
Acha uongo,writz ameopt liverpool besides city,madrid na bayernHuyu pale City aliomba apewe assuarance kuhusu future ya Pep, wakamzungusha ndipo akachagua Liverpool.
Hahaha sasa mbona hakuna ulichonipinga hapo mkuu?Acha uongo,writz ameopt liverpool besides city,madrid na bayern