Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Heloo mwalimu wangu...Toka umejua kiswahili basi unaandika wee
Wakati miaka ya nyuma hapa ungesema mifupa ya konate ni made of indian Biscuits
Heloo mwalimu wangu...
Bye bye TAA wako sio haba Madrid wametoa ela $10m ili ajiunge nao tarehe 1 June ,2025....
YNWA
Kama tumepata mpunga basi tunamtakia kila la kheri.Heloo mwalimu wangu...
Bye bye TAA wako sio haba Madrid wametoa ela $10m ili ajiunge nao tarehe 1 June ,2025....
YNWA
My first babe
Tunamtakia kila la heri
My first babeView attachment 3351160
Ni yeye tu Wakati wote...
Wangapi humu wameipenda Liverpool kwa kuvutiwa na huyu Kapteni Fantastic 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
YNWA
Wewe usinipachikie hawa watoto hovyovyo.View attachment 3351178
Mr wa Saint Anne ndio huyu hapa hana muda wa kulialia hapa ni kata mti panda mti maisha yasonge🤣😄🤣😄🤣😄
YNWA