Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa huyu kipa wa Psg inabidi hizi dakika 15 zilizosalia Liverpool wafanye juu chini wapate goli, la sivyo hili kipa la mikono 100 linaweza likawachomolea betri kwenye penalties.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nilijua tu hili lidude likisimama tu pale golini linatisha, halafu Nunez kwa kipindi hiki sio wa kumuachia kupiga penalty kabisa, ni kumtafutia lawama tu za bure na kumchonganisha na mashabiki.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…