Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa mara ya kwanza last night nilikumbuka tulivyopenya miaka ile ya 2004/5 tukiwa na akina biscan, diaw, carra, smicer, baros, finnan, kewel etc

Tulikua tunashinda lakini moyo ulikua nje ya shati….. and we won Ucl vilevile
 
Kops mkumbuke team ilicheza kwa kuwaheshimu sana PSG mfumo aliotumia slot ni kukaba ila pale tunapopata mpira ni kufanya mashambulizi ya kushtukiza na kutumia nafasi kwa usahihi ,bahati mbaya PSG wakakaba katikati na kufanya Diaz ,Jota na Salah kukosa nafasi kwa kujiamini ...mpira unamatokeo manne KUSHINDA ,SALE ,KUFUNGWA NA BAHATI .Leo tulikuwa na bahati sana .
 
Mkuu, huyu achana nae alikuwa anapumzika tu. Umeeleza kila kitu na kwa ufasaha mkubwa
 
PSG waliizidi Liverpool midfielders..alipoingia Jones baada ya kutoka Diaz...Liver kidogo wakaanza kupiga hata pasi nne.. kwakuwa walikuwa na midfielders wanne tayari
 
Kwa mara ya kwanza last night nilikumbuka tulivyopenya miaka ile ya 2004/5 tukiwa na akina biscan, diaw, carra, smicer, baros, finnan, kewel etc

Tulikua tunashinda lakini moyo ulikua nje ya shati….. and we won Ucl vilevile
Ikiwa tutashinda CL msimu huu, basi performance ya Alisson vs PSG at Parc de Franceitakumbukwa sana, kama ile save vs Napoli msimu tuliobeba CL.

Ynwa
 
I do agree regardless sijawaon Ian & King Kenny ila point hapo ni "Dominant team" na hapa ni on and off the field. Miaka hiyo ndicho kipindi LFC ilibeba makombe mengi zaidi.

Ynwa
 
YNWA!
 
hivi naomba kuuliza

did the size of the pitch affected our performance kwenye mechi ya jana???
It didn't brother.

San Siro 105m by 68m
Old Trafford 105m by 68m
Fly Emirates 105m by 68m
Parc dea France 105m by 68m
Anfiled 101m by 68m

Vipimo vya uefa ni 100m by 65m hii ni baada ya research za wataalamu kuwa uwezo wa wanaume 22 kumudu, pasipo uonevu wa kiafya ya mwili.

Hivyo kigezo cha ukubwa wa kiwanja kimetuathiei kwangu ni Big No.

PSG wana quality kubwa walifunga magoli 15-16 hivi mpaka kufikia jana na walichezana timu nzuri. Arsenal, Atletico Madrid, Man City, Bayern kama sijakosea unaona sasa ni timu nzuri sana.

Slot told his boys hey we can't dominate them in term of possession they have top quality, when it comes to pressing, their Wings on 1v1 they have top quality possession they are good. Haya ni manenno ya Alisson na Slot mwenyewe baada ya game ya jana. Mengi hawakuyasema but i think kuna tactical issues aliwaonesha jinsi ya kudeal na timu za hivi.

Solution ilikuwa kukaa nyuma na kusubiri counters. I said it yesterday before game kuna uwezakano wa ku approach game vs PSG kama ile ya City na ikawa hivyo.

What went wrong? It was
1. Home advantage
2. Quality in the middle of the park
3. Liverpool lack rhythm kwa sababu kuna chances we had on counters but our started front three were not that good enough to capitalize those chances. Salah Jota and Diaz both had poor passing game, poor decision making. It's happen in football.

Slot alijaribu kuwazuia PSG wasipitie katikati bali pembeni ambapo walikuwa wakatili zaidi. Point ambayo naona ilitumeza zaidi ni "uchovu wa akili na mwili" PSG mbali ya tactical battle nzuri battle nyingine ilikuwa physic game.

Again Slot amekuwa mzuri with his subs throughout this season, Jones, Endo, Nunez and later Elliot

Nunez & Endo walileta physical battle nxuri kwa defender & MF, hapo ndipo kidogo ahueni ikaanza kuja upande wa LFC. Jones uwezo wake wa kuhold mpira ukafanya miguu ipumue mwili upate utulivu, hapo pressing ya PSG ikaanza kumezwa hasa baada ya kurudi kwenye 4-4-2 but we were tired enough.

We will change tactics next week, we will go toe to toe with them,,

Ywna.
 
kwa jinsi tulivyopwaya in our build up nilidhani uwanja umechangia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…