Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,632
- 81,727
Fair play to NunyezzzAlisson Becker won us the game & probs the tie.
BUT, without Darwin Nunez, we dont score that goal, that goal was all on him, he made & created that goal OUT OF NOTHING.
But, guess what? he gets the most abuse.
siku ambayo our MOST IMPORTANT ATTACKER, amepotea kabisa, NUNEZ came on the pitch and saved the day.
This might be his last season at the Club, i wont remember him as a ST that flopped at LFC, nitamkumbuka kwa MOMENTS kama hizi, na luckly anazo nyingi at the Club.
View attachment 3260622
SG is a bigger legend than Dalglish.Kenny Dalglish, Steven Gerrald, Ian Rush, Jurgen Klopp, Alan Hansen
Haha.Big No!
Wengine sio wetu haoMisemo kama hii haipendezi makamanda kuitumia.
Older LFC fans, huwaambii kitu kuhusu Ian Callaghan, hahaha.Steven Gerrard
Ian Callaghan
Phil Thompson
Robbie Fowler
Trent Arnold
Steven Macmanaman
Jamie Carragher
Michael Owen
YNWA
Kweli sio hivi? 👇
1. Ian Rush
2. Kenny Daglish
3. Steven Gerrard
Hao wazee wawili wa mwanzo ni kama Damu ya Liverpool na wamefanya makubwa kuliko Gerrard.
Kila alichokifanya Gerrard na wao wamekifanya, ila kuna vitu wao wamefanya Gerrard hakuwahi kuvifanya.
Kuna mmoja angekuepo hapo ila aliamua kuitosa Timu ni yule Mzee wetu Kevin Keegan aliamua kutukimbia wakati tunamuhitaji.
Wengine sio wetu hao
Acha wamungunye
Jurgen has done more for LFC than Bill & Bob.
Nipo tayari kwa huu mjadala.
Ngwaba.
Hakuna player ambaye amefanya zaidi ya SG at LFC.
He's the greatest LFC player of all time.
Nipo tayari kwa huu mjadala.
This debate 🤔
History inaonesha Ian & Dalglish walicheza kwenye best & most dominant LFC sides in our Club's history.Huo mjadala unatupa changamoto kwasababu Daglish sikuwahi kumuona akicheza.
Ian Rush sikumuona katika his prime bali nilimuona akiwa anamalizia mpira wake mwishoni kabisa.
Alikua form sana leoALLISON ALLISON ALLISON
Endelea kucheka mkuuHahaha ila mashabiki tunachekesha sana
Punguza uswahili game ilikuwa ngumuAnorld kwenye kukaba leo alikuwa vizuri
Szobo kanifurahisha pia kazi imepigwa
Nunez na Elliot bahati imewakuta njiani wakaifanyia kazi
Kati kati tumepwaya mnooo
Tukipata DM wa maana Robbo bado ni mzuri
Diaz na Jota leo siku imeenda vibaya mnoooo
Allison nakosa cha kuandika kwa alichokifanya leo
Slot ndie mwenyewe ama tumsubirie mwingine?
Slot bado ananichanganya changanya
Ila tumekutana na kati ya makocha bora kwa sasa Duniani Luis Enrique sishangai sana kwa moto tuliokutana leo, japo sikutegemea iwe hivi
Ubingwa na Bahati huwa ni mapacha
Kwa hiyo ili uwe bingwa lazima bahati kama kwenye mechi ya leo ikufuate na vijana wakaifanyia kazi
I will never forget hiki kipindi…. He carried LCF pakubwa sanaHistory inaonesha Ian & Dalglish walicheza kwenye best & most dominant LFC sides in our Club's history.
Kwenye his LFC career, best & dominant side aliyocheza SG at LFC, ni ile ya 2007-09, & that was it, apart from that, history inaonesha, SG alianza kuibeba hii team akiwa na 23 years, because hakuwa na bahati ya kucheza kwenye LFC dominant sides kama za wakati wa Rush & Dalglish au hii modern LFC, so wajibu wake mkubwa kwenye his PRIME years ilikuwa ni KUTUBAKIZA kwenye League & make us competitive, na alifanikiwa on his own.
Akiwa na miaka 24, kipindi ambacho tulikuwa tupo on the verge ya kuenguliwa kwenye CL, na kwenda europa league, na Olympiacos ya kina Rivaldo wakati ule, SG alisema, nanukuu "sitaki kuamka asubuhi na kwenda kucheza Europa League"
Alichokifanya kwenye ile game na kwenye kampeni yote ile ya CL mpaka fainali, rudi kwenye history, na huwezi kukiona kwa kina Dalglish or Rush.
View: https://youtu.be/LgMjNN88m5o?si=L9itbiFKj8L3m3Ri