Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Tupewe tu kombe letu mapema
suala la muhimu kwa sasa ni kumcharaza c115yTushindwe kufanya nini? Kumpiga cty au kubeba ndoo?
Seems like alijifunza mengi kwa Matip.Konate, a BEAST.
Tsimikas angekuwa anajua kuzuia zaidi hii namba angekuwa amejihakikishia mazima.Robertson NEEDS replacing.
Seems like alijifunza mengi kwa Matip.
Kijana kuna muda anajitahidi kusukuma gozi mbele kwa kujiamini sana.
Kwenye kuzuia leo yupo sharp pia.