Watu walitaman City ashinde, apigwe tu Pep hamna namna.🤓🤓🤓🤓🤓🤓Raha sanaaa kuona Pep akiteseka hivi yaani raha sana.
Mamosh atulie kwanza wakati wake bado sana. Nimeona kipaji kipo pale.
YNWA
Nakazia bonus mode any trophy won itakua by th way💃🏿💃🏿💃🏿💃🏿yaani hatuna hata preshaaaa.Watu wanaomuhurumia Pep watakuwa wamesahau ukatiliki wake,
Pep katesa wenzake kwa fedha chafu za wachimba mafuta.
Jamaa alikuwa na vikosi viwili vyenye uwezo wa kubeba major trophies, labda upande wa goal keeping hakuzingatia ila idara zingine zilikuwa zimesheheni.
Embu fikiria Class kama ya Alvarez inakaa bench, wachezaji wa £70m to £100m wanakaa bench (Grealish, Philips) Mchezaji anasajiliwa msimu mmoja hajadeliver anapewa msimu mmoja anaondoshwa mf K. Philips, leo LFC tunahangaika kumbakiza Trent kule kwa Pep Cancelo alizingua moja (turn ya Salah akafunga only goal at Anfield long ball from AB1), na ile game ya FA alipigwa bench akanuna ikawa mwisho wake, akaletewa mtu wa £60m plus.
Wakati tunahangaika na Academy players, kina Jones na Bradley, wawe seniors tuwategemee, Pep anauza anachukua ready made. Mf Palmer, Lavia.
Huyu akiteseka ateseke tu. Nikumbushe ni msimu gani pep alifungwa na:
Spurs
LIverpool
Man utd
Arsenal
Ndani ya msimu mmoja??
Hili joto analopitia Pep kuna wenzie vibarua viliota nyasi, na wengine walioga na kupuliziawa manukato ya aondoke tu aje Gerrard (in Saint Anne's Voice), huyu Jurgen Klopp, unakumbuka 2020/2021?? Je 2023/2024??
Acha Pep na Halaand wateseke.
Kudos to Arsenal.
Slot namdai ushindi pale Etihad Stadium 🏟️ 🏟️.
Arsenal na NF mmewahi kukimbizana only 1 point from feb to may bila kuikuta, ask Klopp 2021/2022. Zilikuwa 12 points zikapunguzwa ikabaki moja na Pep akabeba kwa point hiyo hiyo moja.
Karibuni sana Arsenal & NF kwenye hii marathon, we are ready for it. N.B target yetu ilikuwa top four tu sasa tupo kwenye "Bonus Mode"
Mateso kwa Pep yaendelee,
Best of luck to us.
Ynwa
angepewa miaka 2 angempita rooneyView attachment 3221955
Muafrika anayesumbua Wazungu
[emoji1][emoji1][emoji1]wanamatatizo mengi sana, walichofanya ni uasajili wa kupaniki tuu sababu hela za kuspend wanazo.[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]Raha sanaaa kuona Pep akiteseka hivi yaani raha sana.
Mamosh atulie kwanza wakati wake bado sana. Nimeona kipaji kipo pale.
YNWA
View attachment 3221955
Muafrika anayesumbua Wazungu
Hatimae jana wamesajili DM kutoka Porto, dogo ana kipaji na zao la La Macia pale Catalan hivyo basics za nini Pep anachokitaka anazo. All the best kwake ni moja ya dynamic DMs upcoming na kwa bei kubwa japo kwa Mansour inalipilika bila shinda.[emoji1][emoji1][emoji1]wanamatatizo mengi sana, walichofanya ni uasajili wa kupaniki tuu sababu hela za kuspend wanazo.
Beki za kati, pembeni, viungo na eneo la kipa vimeoza wao wakaona tatizo ni mawinga
Mkuu, Unless umesahau FSG bado wamoo hivyo hakuna matata.Ina maana Liverpool majira haya ya baridi Wameshinda kabisa kufanya usajili wa aina yoyote?
Licha ya TAA kutakiwa na Madrid, Nunez kutakiwa Saudi Arabia. Sijaelewa yaani hizi kelele za mikataba ya kina Salah, VVD, TAA kugonga sana headlines ya media kote duniani.
Yes boss.Nakazia bonus mode any trophy won itakua by th way💃🏿💃🏿💃🏿💃🏿yaani hatuna hata preshaaaa.
YNWA
🤔🤔🤔🤔🤔Kwenye main streammedia sijaona chochote wala kwa ma pundit nguli nao kimya.Captain Marvelous The MoNA Ladder 49 King Ngwaba MosDef
Ni kweli Salah na Virgil wamesaini mikataba mipya?
Captain Marvelous The MoNA Ladder 49 King Ngwaba MosDef
Ni kweli Salah na Virgil wamesaini mikataba mipya?
Sio sayansi ila Imani.Ina maana Liverpool majira haya ya baridi Wameshinda kabisa kufanya usajili wa aina yoyote?
Licha ya TAA kutakiwa na Madrid, Nunez kutakiwa Saudi Arabia. Sijaelewa yaani hizi kelele za mikataba ya kina Salah, VVD, TAA kugonga sana headlines ya media kote duniani.