Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Emotions getting high

And the goals keep coming from THAT side
 
We need defenders this Jan

LB, CB na huko kwingine sitaji maana unakuwa imoshino
 
nadhani hata makocha wetu huwa haaaendi public kudai wachezaji tofauti na pep anaeongea hadharani..... nadhani hili ni tatizo pia
 
Kocha aanze kuwaamini wakina Endo,Elliot,Chiesa Jota na Tsimikas waanze ktk first eleven coz wana fresh legs Kuna baadhi wa players washaanza kupungua ule ufanis sjui sababu wametumika sana au vip

Jota sio kwamba haaminiwi ila ndiyo hivyo miguu ya mabua yani juzi kaingia kipindi cha pili tu sasa hivi yupo Wodi namba 4 ya wagonjwa halafu umuanzishe kwa dakika 90? Hata dakika ya 60 hatoboi anapelekwa ICU.
 
Huyu Diaz kachoka, game ya 3 au ya 4 hii hana ile fire power yake ya kawaida. Leo anapiga vishuti kama mate ya mlevi

Najiuliza kwanini Slot hamuamini Elliot. Lkn naamini hizi game zingine anapaswa kuanza na atatusaidia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…