Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kaka, LFC fans hawakushtuka kipindi kile, bado wanadhani tunawaponda FSG kwasababu ya chuki tu.

FSG wametukosesha vitu vingi sana as owners, sometimes tulikuwa tunajificha kwenye kichaka cha kuwa Klopp hataki kusajili, now hayupo, excuses zitakuwa zipi?
 
Nakubaliana na wewe kwenye hili, binafsi pia nilikuwa namlaumu sana TAA kwenyebishu ya ukabaji. Ila kuna mahojiano niliyaona ya Klopp wakati akiwa bado kocha wetu akilielezea hilo the same way ulivyolielezea.
Itishe kusema tu, sisi baadhi ya mashabiki tukimaliza kuangalia mpira ndio imeisha. Mahojiano ya wachezaji na makocha baada ya mechi ni kitu ambacho wengi wetu hatufatilii.
Alifanya makosa game na Man U sawa, lakini inatokea siku mbaya ofisini kwa yeyote. The same kwa Maguire kushindwa kumalizia msumari wa mwisho kutuweka msalabani.
Shukran MosDef
 
Mkuu hapo ni ishu ya timing( hiki ndicho kilichomfelisha zaidi Klopp, ukiacha pia sababu zingine)

Mfano 2018-19 City were suposed to beat us at Etihad ili ku close the gap na wakafanikiwa, what if it was viceversa?

Last seazon City have to beat Spurs( na unajua jinsi gani spurs anamsumbuaga City) ila kwavile City ilipaswa ashinde that time na alishinda( LFC tusingeweza)

Last seazon at that crucial time tulitakiwa tumfunge Arsenal at Anfield tuseal title race guess what happen, ukiondoa makosa ya refa lakini ile bigest chance missed ikatuondoa kwenye reli

Before last seazon, City walitakiwa kuifunga Arsenal ili waclose gap huku wakiwa na mechi mkononi na walifanya hivo( LFC tusingeweza)

Ubingwa hauamuliwi kwa kushinda tuu but timing ya kuwafunga wapinzani wako

Ni ujinga kumfunga united 7-0 when ur not even in tittle race kisha ukiwa kwenye title race humfungi at crucial time.
 
Hii round ya pili huwa ngumu sana hasa unapokuwa na mashindano mengi kama sasa ....pili wachezaji wanakuwa na uchovu ,Arsenal katolewa FL .sasa nasi ndiyo muda mzuri wa kupangilia game na kupynguza uchovu wa wachezaji kwa baadhi ya game
 
Allison haachagi maupuuzi yake. yaani akirudishiwaga mpira moyo wangu hautuliagi
 

Trent is not that popular among LFC fans.

People just hate him, for no reason.

He just want a better deal, kama LFC wakishindwa kumpa, wengine watampa.

Salah wants a better deal, VVD wants a better deal, Konate wants a better deal, but kwa Trent imekuwa shida.

These fans, wanajua deep-down kuwa Trent ni WC, haya maneno wanayorusha tu ni ku-save face, kama ilivyokuwa kwa Owen, Torres, Suarez, Sterling, Coutinho etc.

Mtu ambaye anaingalia hii LFC ya Slot, week in, week out, na bado ana-question defensive stats za Trent & his role, siyo wa kumchukulia serious now, ni emotions zinakuwa zinasumbua, bado anakiwa hajakubaliana na ukweli kuwa Trent anaweza kuondoka LFC.
 
We have got 2 fit CBs now, & Konate is not even full fit.

If we dont act hii january, then itakuwa ni UZEMBE mkubwa sana, & its not like tulikuwa na big summer.

for now looks like Slot will settle na Endo as a makeshift CB.
 
We have got 2 fit CBs now, & Konate is not even full fit.

If we dont act hii january, then itakuwa ni UZEMBE mkubwa sana, & its not like tulikuwa na big summer.

for now looks like Slot will settle na Endo as a makeshift CB.
Tumebakiwa na 2 senior CB, hii tayari ni crisis, If anything happens to Virgil, this team is done,It's a game over, Itakuwa ni disaster.
 
Mpaka hapa ishafahamika tatizo wala halikua Klopp Kupenda small squad mbali ni FSG kuangalia zaid wage structure na investment ya wachezaji kwao sio priorities kabisa.
Baada ya kusaini VVD Hatujawai tena kusaini elite CB kamwe, as Konate sio finished article when he came. Hii ni ishara kwamba aidha FSG ni wasoma nyota ambazo mara nyingi huegemea kutoa mazuri ama wapo clueless au hata kuangalia tu historia ya mafanikio ya Fergi aliyapata kwa kufuata mfumo upi wa usajili.
Hesabu za Fergi ubingwa EPL ilikua afunge timu zote kuanzia nafasi ya 5 kushuka mpaka nafasi ya 20 yaani alikua anapambana mno ajikusanyie pointi za kutosha ili akikutana na Big 4 wa enzi hizo akikosa ushindi iwe sare na hata akifungwo basi anapoteza pointi chache sana haya mahesabu Fergi ndio yalimpa mafanikio makubwa. Sasa unavyoona Liverpool ya sasa tunatoka sare na Fulham au Newcastle etc ujue hio kwetu ni hesabu inakua ngumu haswa.
Haya yote mwisho wa msimu yanatunyima ubingwa maana utakuja kutazama kipindi sare na vipigo vinatufuata basi kipara yeye ni ushindi tu hajui kingine.
Mara kadhaa tumejikuta na nafasi adimu kama tulipo January tunaongoza ligi na dirisha lipo wazi na tuna majeruhi lakin FSG watawalipa spinning master social media ionekana eti kwamba wachezaji wanaowahitaji hawauzwi hii January hivyo inapita kimya kimya, hakuna mchezaji asiena bei soko likiwa wazi ni kuonesha nia tu na kuweka of mezani.
Bila kuingia sokoni na kinachoedelea pale CBR kwa Konate, Gomez na Quansah basi tutegemee kuona Gravenberch au Endo wakicheza markshift CB na mech bado nyingi sana kwa kweli na point zinasaksa left n right.
Yangu macho tu kwa FSG tuone kama wanataka ubingwa au wanataka Big 4 na kusogea mbali UCL wakusanye ela za maana.
Hopeless FSG wanaboa.

YNWA
 
We have got 2 fit CBs now, & Konate is not even full fit.

If we dont act hii january, then itakuwa ni UZEMBE mkubwa sana, & its not like tulikuwa na big summer.

for now looks like Slot will settle na Endo as a makeshift CB.
Its makes me to think Edwards was brought back to assist the new gaffer to mould another Liverpool machine ambayo ungekuja kushinda ubingwa 2026 hukoo hivyo ma staa players wauzwe ama waachiwe mikataba iishe waodoke huku tukiaminishwa its will take another 3 or 4 years Liverpool to compete for the Trophies EPL na UCL jambo ambalo hata wakati anatua Slot tayari FSG spinners walishaanza kulisema. Tooo bad for FSG msimu huu Kipara na wengine wamekua average mpaka sasa na too good wachezaji Liverpool wamepokea na kuelewa anachokitaka Slot na wametekeleza to the letter kiasi sasa Liverpool ipo top UCL na top EPL. Kama hawawezi kuona hii fursa basi tena maumivu tusubiri maana who knows kama Arsenal au Manchester City au Chelsea au Nottingham Forest wanaweza kua winning period wakati tunapata sare hapa na pale na kuipunguza ile gepu, EPL hua haina mwenyewe kuanzia January ni open race na hua ni ushindi tuu hakuna kingine, pata sare at ua own cost.
We need CB as early as now mara pap unasoma wanamtaka Kimichi like for real unless guy not renewing alipo waamue ku cash in now basi hizi ni spinning za FSG again.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…