Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,584
- 235,438
You can’t be seriousYalikuwa wapi kukimbia hivi
Diaz ni takataka
Heri ametoka
Chenga nyingi mnoYou can’t be serious
UmeshapataChenga nyingi mno
Si tunataka magoli
Poa tuSalah japo kafunga ila sijawahi kuwa na Imani naye kwa penati
Umeshapata
Goli la pili ni la bekiAllison ni takataka sana
Heri angedaka Kelleher tu
Jitu limesimama wima kama mwanajeshi
Linajitingisha tu kidogo halitaki kujichosha kabisa🚮