The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,264
- 10,503
Robbo jamani hata Dada wa familia hii ana kudiss
YNWA
Trent ameanza kutupiwa virago sasa anaenda kwa Gakpo
Ynwa
Robbo jamani hata Dada wa familia hii ana kudiss
YNWA
Too bad loss of form is really catching up with Robbo, high intensity is pushing him to the fullest kiasi akili inataka azuie, akili inataka ashambulie, akili inataka atupe ma assist lakini uwezo nao ndio amefika mwisho wake aisee kila akajiribu holaaa....Naam.
Now you can see even with a DM only tuta suffer bado, kwa sababu LB & RB defensive wise ni challange sana,. We need to jump quickly before it bite us, january, Leta DM & LCB (player who can play LCB & LB), plus DM.
Him (Robbo) & his agent need to think otherwise.
Ynwa’
Kwa upumbavu wake timu imedrawRobbo jamani hata Dada wa familia hii ana kudiss 😂😂
YNWA
Too bad loss of form is really catching up with Robbo, high intensity is pushing him to the fullest kiasi akili inataka azuie, akili inataka ashambulie, akili inataka atupe ma assist lakini uwezo nao ndio amefika mwisho wake aisee kila akajiribu holaaa....
Ukiona mpaka ma old guard akina Carragher wanaaanza kumtupiaa maneno asepe ndio ujuee anapewa ujumbe
YNWA
Hapo kwa Quansah hakuna future yoyote, ni liability
philips alikuwa bora kuliko quansahHapo kwa Quansah hakuna future yoyote, ni liability
choza choza 😂😂😂katika ubora wako hujawai kukupwesha.Hapo kwa Quansah hakuna future yoyote, ni liability
Thank youHeheh thats football. Hukuwaona watu wakimtetea Hendo na kusema ni best over Steve G.?
Hukuona watu wakisema we have Origi & big Shaqir, Salah has to go he is selfish. We have Elliot & Doak they can play, Salah has to go.
Watu mpaka leo tunamtetea El Panthera Nunez Captain Chaos, lakini haiondoi uhalisia both uwanjani na stats, uwezo ni mdogo au umepungua.
Dave anamtetea Robbo kwa mapenzi yake kina Saint Anne wanasema Mapenzi upofu, its applicable hata kwa makocha pia.
Mambo ya kawaida kwenye mpira, likes and dislikes.
Halafu Robbo since last season alionesha dalili za kupotea ni vile hakuwa akisababisha makosa yenye kugharimu timu, but this season kupotea ni kule kule, n unfortunately this season mambo yanamuharibikia.
He is our legend ibaki hivyo, we have to move on, Bila yeye. Many teams will want his service na anaweza pia kusaidia.
LFC inakosa balance kwenye defensive line, we need new legsx kumtegemea Konate ambaye he has 60% (observation) ya kupatikana same to Jota ni kujimaliza.
I think Antonee Robison anaweza kuchukua mikoba ya Robertson vyema. Option ni mbili kwa Robbo,
1. Kukubali kuwa back up ya atakayekuja,.
2. Kuondoka kwenda kusaka maisha nje ya LFC probably Italy patamfaa zaidi,.
Remain or not, just best of luck to him (Robbo).
Ynwa’
😂😂😂 hata DefMos anamkubali sana huyu Mwamba
The MoNA Mkuu mambo ?
Tunakosa analysis ya mchezo wa jana, nilikuwa nataka kufahamu na kusikia maoni yako kwanini dakika 10 za mwisho tuli suffer sana ?
View attachment 3180582
Their reactions. Mkuu The MoNA unaielezea vipi perfomance ya Captain Samurai ?

jokes