Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Hapana Nunez ndio wild card wa Slot.... πππππIla Nunez man his shooting accurate boots zipo Benfica aisee akazifuate tu hakuna namna.Haiwezekani Nunez tumuache huko huko spain?
mkuu wanaposema hafungi wanamaanisha kwenye mechi 19 kafunga goli 3 tu, mbaya zaidi anashindwa kulenga goli anapiga nje hata akibaki na kipa yeye ana kugongesha Miamba duh.π kufunga magoli haufundishwi. kama haujui haujui tu.Nunez bado ni striker bora kama hafungi bado ana mishe mishe zinazotamanisha labda kesho atafunga anasidia majukumu mengine uwanjani!