Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Poleni sana naomba kwa niaba ya wawekezaji muombe radhi mmechana mikeka kwa ukubwa huu Arusha 567 ,567,600, mwanza 756,986,499 , mbeya 987,453,890, Dar 4,165,789,960 etc nimelia sama
 
Klopp amecheza EPL 9 miaka 9.
Unaona ni sahihi kumtukana kwa kufanya comparison na mtu ambaye hajamaliza round hata Moja EPL?
Klopp ni akili imezeeka kafungwa kiboya mara nyingi sana na haya ni machezaji aliyoyatengeneza Kwa kushindwa kuwakazia fsg wampe pesa ya maana yake ambayo yanamuangusha slot full stop klopp sip baba yangu mpaka nisifie Kila kitu na slot nae akiwachekea fsg atakua kocha bwege tu sababu wewe kama kocha inabidi uheshimike kama guardiola mabosi wanamuheshimu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom