Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Haya mambo ya working behind the scenes hua yanachosha sana japo vile vile hua yanaweka mashabiki attention maana hatuelewi ni mchezaji yupo anaefuatiliwa kwa karibu nadhan hii pia inawapa muda wanaoshiriki mazungumzo wawe na muda wa ku bargain baada ya idara ya scout kufanya analysis ya wachezaji husika..Sina pressure kwa sababu sina matarajio makubwa kuelekea msimu ujao.
Ila kabla ya usajili wowote naenda kuangalia hizi mechi nne za pre season kisha nitaleta msimamo wangu bila usajili na baada ya usajili kwa analysis ya mechi nne
Vs Arsenal
Vs Utd
Vs Sevilla
Vs Sociedad
Haya mambo ya working behind the scenes hua yanachosha sana japo vile vile hua yanaweka mashabiki attention maana hatuelewi ni mchezaji yupo anaefuatiliwa kwa karibu nadhan hii pia inawapa muda wanaoshiriki mazungumzo wawe na muda wa ku bargain baada ya idara ya scout kufanya analysis ya wachezaji husika..
Sina imani kabisa na hiki kikosi maana wengine wanaimarisha sana vikosi vyao sisi na huku tupo tunaambiwa wanafanya mchujo kwa hio ni subira na subira yavuta kheri...
YNWA
FSG wako bizy kununua klabu mpya mpaka unajiuliza hawaoni kikosi kimepwaya namna hii kiasi uwezo wa kua contenders haupo tena hata hio Big 4 kuna Uwezekano tukakosa kabisa...Hii behind the scene faida yake kubwa ni moja tu, unakwepa mfumuko wa bei ambao unaletwa na wakubwa wengi.
Ishu ya Jude ilikuwa tuikamilishe mapema sana kwa bei nzuri kabla ya kumpa headlines na wengine kumfukuzia na wenye pochi wakapita nae.
Kuanzishwa kwa haka kamkakati ni kukwepa hiyo hali, ndio maana imekuwa siri sana. Hata hivyo kwa sasa naona soko limepooza there are no big names, big deals zinatajwa tajwa,
Ngoja tusubiri maana mashabiki wa LFC pressure imepaa juu kwa sasa, hawaelewi nini kinakuja, Slot anakaangwa wanasahau yeye ni mpendekezaji tu hana full authority, FSG wamepoozwa kwa sasa. Naamini bado kuna sajili zitafanyika hasa kwa DM, LCB and RW”,.!!!
Waleteee hao Nyumbuz na Kengez tujipigie.
Nadhani kwa sasa ni suala la coaching kwanza kabla ya kusajili
Unaweza kusajili na kukawa hakuna good coaching
View attachment 3048020
Usajili pekee Liverpool mpaka sasa.
Edwards yupo bizy kusaka timu ya kununua huku Slot akiwa kashachezea kipigo majuzi vs Preston japo kikosi cha ma juniors.
YNWA
Mmeshapigwa na kitu kizito kwa huyu kocha...anafanana saba na Boss Klop kwa maneno ya kufariji.Arne Slot:
“The standards are really high to bring in new players. If you inherit a team that’s really good, it’s not easy to find players who are even higher. Richard is working really hard on that.”
Tumeipenda wenyewe 🤣🤣🤣hii timu sijui hua wanatuchukulia aje aisee yaani maneno matamu matamu tu huku vitendo ziro kabisa...Yani mchezaji yupo Bize saluni kuweka lipstick
Jana nilimsikiliza Slot kwenye interview, i like that guy yupo so honest na anafunguka vilivyo.FSG wako bizy kununua klabu mpya mpaka unajiuliza hawaoni kikosi kimepwaya namna hii kiasi uwezo wa kua contenders haupo tena hata hio Big 4 kuna Uwezekano tukakosa kabisa...
Kile kipigo cha Atlanta ilikua kiwe kama reference point ya usajili dirisha hili...
Ni kweli behind the scenes zinasaidia lakini sio ki vile tazama bei kwa Nunez, Domy, VVD, Allison nk hivyo cha msingi ni identify mchezaji husika na kutazama release clause imekaa aje then ku react..
Tunataka usajili sasa waanze kuingia kwa mfumo mapema.
YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu haya ni maneno ya kujifariji au kwa lugha nyepesi tunasema ni maneno ya mkosaji