Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,525
- 235,264
Ningekuwa mama Cita ningemkaanga huyo jini Haland😆🤣 🤣 Hallaad leo kakosa sitter hivi hivi.. Ingekua ni kijana wangu Nunez hapa miss Liverpool angekua kashatupia mistari ya kutosha...
YNWA
Jana yenyewe Nunez kapindisha mguu kama kawaida yake.
Huyu mtoto wamemuwangia kwao asifunge.