King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,461
- 7,456
Nunez is too unlucky aisee. Its not a normal thing. Mchezaji kupata hizo scoring chances every matches ni uwezo mkubwa wa kunusa uelekeo wa mpira.
Hicho kitete kitamtoka he is very young 22, he has room to improve more. No. Zake zinaongezeka positively matter of time he will click. Pasi ya goli aliyotoa ni moja ya improvement katika kuona hard chance ya kufunga na kutoa pasi.
Kama Klopp alivyokata utepe wa kutoshinda fainali, ndivyo Nunez ataukata utepe wa kushindwa kukwamisha mpira wavuni.
I wish him all the best.
Kuna muda no zinakukatalia uhalisia. Ila aina ya magoli tunayofungwa kila siku mengi tunayatoa kama zawadi tu. Vvd kaongezeka ubora msimu huu kutoka atoke majeruhi yale. Last six match Endo played very well. Na sasa hivi both short and long passes anazipiga vizuri. Amejiamini na ameingia kwenye mfumo.

Tutawasaidia kuwapunguzia mzigo wa FA kwa kuwaondoa kwenye mashindano hayo.
muache mshikaji wangu anachangamsha jukwaa ahahEeeee Mungu Baba saidia mbuzi hii iachane na fikira za kijinga
Alitutapeli sana bwana KEITA, mbaya zaidi Klopp kama kawaida yake akautoa msimu mzima sadaka ili amsubirie KeitaHuyu bwana mdogo sijui nini kilimkuta na ile msululu wa majeraha...
Tetesi huko Ujeremani penyewe panamshinda aisee...
YNWA
Dogo ana nuksi sana kabla hajahamia Liverpool alikua moto sana RB nakumbuka timu kadhaa zilituma ma scout kumfuatilia walikuwepo Bayern Munich, Barcelona, Manchester United nk lakin dogo kaa kuongea na Klopp na ahadi kem kem akajitosa Anfied kuridhi jezi ya Gerrard namba 8 na yaliyomkuta naamini anaona bora angechagua kwingine kabisaaaa.Alitutapeli sana bwana KEITA, mbaya zaidi Klopp kama kawaida yake akautoa msimu mzima sadaka ili amsubirie Keita
not this timeKuna kipindi waliondoka Salah, Mane na Keita kwa ajili ya AFCON na tulitembeza vipigo hatukupoteza hata game moja.
Wazungu wanamuita unlucky playerNunez ni average player [emoji23][emoji23] hamna striker hapo anavitu vya kujifunza kutoka kwa Jota. Kunagoli Gakpo kafunga angekuwa ni yeye angebutua tu [emoji23][emoji23] hana skills kabisa yeye anacho waza ni kufumania nyavu tu
Kipara aliye vichochoroni huko sisi tuwawaze watu wanaotegemea jini lililoflop kushinda 😂Nimeona post moja mwenzako anapiga ramli anatuhesabia mechi za sisi kuja kufungwa 🤣🤣🤣 inaonyesha mlivyo waoga mkikumbuka kipara the mastermind anawapumulia hapo kisogoni na ndo kwanzaa january na sie ligi huwa tunaanza February na gap ni 5 pts kwa msaada wa kiporo...hapo lazma mchanganyikiwe.
Hawezi😂Kuna chance moja Nunez alipata yeye na kipa nikasema Bismillah Mungu jaalia afunge [emoji23][emoji23][emoji23]
City, city, city...hawa ndio wapinzani wetu wakubwa kwenye ubingwa. City wanapokupa pressure si sawa na sisi tukiwapa wao pressuure. Kwa maana kwamba wanatulazimisha sisi kushinda game zetu na wao wanashinda zao.
Ukiangalia tuna tofauti ya piont 5 sisi tukiwa pale juu na city wana game 1 mkononi. Wakishinda tofauti itakuwa points 2.
Siku tukitoa sare tu na city wakashinda tunakuwa sawa. Na wao wanakwenda kukaa pale juu. Wallah naapa hatuwezi kuwashusha tena.
NAtamani kuiona liverpool kwenye kiwango walichoonyesha jana kwenye kila game.
Salah's position will be fixed, not Salah's ability.
So, without even Jota hakuna kitakachoharibika as long Klopp ataplay his part.
Mimi kuna muda hadi namuonea hurumaNilikuwa nikimlaumu sana Nunez lakini naona niache kumlaumu bali niseme tu Nunez pia hana bahati amepatwa na kama nuksi hivi.
Huenda hii nuksi ikamuondokea akarudi mchezoni.
Nunez is too unlucky aisee. Its not a normal thing. Mchezaji kupata hizo scoring chances every matches ni uwezo mkubwa wa kunusa uelekeo wa mpira.
Hicho kitete kitamtoka he is very young 22, he has room to improve more. No. Zake zinaongezeka positively matter of time he will click. Pasi ya goli aliyotoa ni moja ya improvement katika kuona hard chance ya kufunga na kutoa pasi.
Kama Klopp alivyokata utepe wa kutoshinda fainali, ndivyo Nunez ataukata utepe wa kushindwa kukwamisha mpira wavuni.
I wish him all the best.
Hizi ni zile comments anazipendaga Captain Marvelous 😂Nunez is too unlucky aisee. Its not a normal thing. Mchezaji kupata hizo scoring chances every matches ni uwezo mkubwa wa kunusa uelekeo wa mpira.
Hicho kitete kitamtoka he is very young 22, he has room to improve more. No. Zake zinaongezeka positively matter of time he will click. Pasi ya goli aliyotoa ni moja ya improvement katika kuona hard chance ya kufunga na kutoa pasi.
Kama Klopp alivyokata utepe wa kutoshinda fainali, ndivyo Nunez ataukata utepe wa kushindwa kukwamisha mpira wavuni.
I wish him all the best.
Mimi siyo bro,ni Bibi yenu😁Its football bro. Same kwa anavyokaangwa Nunez ila drought of goals ilivyokuwa kwa Diaz and Gakpo hawakuwa wakiguswa.
Pressure inakuwa kubwa mno kwa fans. Kama Salah alivyokosa PK jana, kelele zikawa Salah asipewe tena PK tutafute mwingine. Mechi imeisha all praised him hahah.
Sasa inabidi uwaelewe watu na uwezo wao wa kuhimili vishindo vya EPL.