Yes anakosa magoli ila jiulize mbona strikers wengine hawapati hizo nafasi za kukosa?Nunez aiseeeee hapana jamaa anakosa magoli ya wazi sana hata goli la Szobo jana pale Nunez angekosa
Sisi siyo asenoPep muache kama alivo, point 6 tuu, chache Sana, mwaka Jana zilifika 8 Hadi januari na akabeba
Salah haondoki hadi ahakikishe amewakanda Madrid kwenye UEFA.🤣 🤣 🤣 🤣 Ngoja June 2024 Salah huyo Saudia sijui utahamia huko huko au namna gani.
YNWA
Hawa jamaa wanaenda kwa assumptions yaani 🤣No, hizi ni two different scenarios! Klopp alipoteza fainali hizo kwasasababu ya kukosa quality ya Wachezaji, kumbuka tunacheza Fainali ya Europa tukiwa tunategemea wachezaji aina ya Ibe, Kolo Toure, Sakho, Clying, Mignolet etc.
Tunacheza Fainali ya UCL tukiwa tunategemea wachezaji aina ya Lovren, Karius, Milner, Lallana etc.
Hivyo kama wana same scenario you mean Nunez naye amekosa quality?
🤣🤣🤣Kwenye mpira ukitegemea lakini umekwisha.
Huku kunahitajika kudeliver back to back sio probability za 'lakini'.
Chance zake anazopata nyingi kuliko strikers wengine hazitatufundisha chochote kama haziwi magoliYes anakosa magoli ila jiulize mbona strikers wengine hawapati hizo nafasi za kukosa?
Nunez anaweza kupata big chances tatu mpaka nne in one match lakini strikers wengine wakaambulia one chance or even half a chance! Kuna kitu cha kujifunza hapa!
Just for the record, Salah msimu wake wa kwanza alivunja record ya ufungaji EPL but he was far from being clinical as he is now, unajua kwanini? he kept on creating chances after chances. I'm not saying Salah was wasteful as Nunez is at the moment but probably he had less pressure compared to Nunez at the moment.
Ntakua mtu wa mwisho kuamini kua Nunez atakuja kutupa super performance na kua tegemeoKlopp said he will turn doubters to believers and i can see same scenario kwa dogo Nunez.
Klopp proved em wrong big time wote waliomdiss hawezi kuchukua makombe na kikosi chake cha kuungaunga walikaa kimya kwa kua hakuna kikombe ngazi ya klabu hajachukua... Pep mpaka sasa na ubora wake hawana CWC na hio UCL amesubiri miaka 7 ndio kushinda pamoja na ubora wa kikosi miaka na miaka lakin they fell short...
Nunez is just a matter of when not if.
YNWA
Saint AnneNtakua mtu wa mwisho kuamini kua Nunez atakuja kutupa super performance na kua tegemeo
King NgwabaSaint Anne
Wakipekee
Nk
Nk
Nk
YNWA
Kelleher yupo
Huyu baba akili yake anaijua mwenyewe
Heloo Saint Anne.Ikiwezekana aanzie benchi mfululizo akili imkae sawa.
Tuna damu changa,Akina Elliot ,Gakpo,mdogo wako pendwa, wote hawa wanahitaji kucheza.
Anataka acheze yeye tu mwanzo mwisho
Klopp naye amezidi kumuogopa hadi jamaa anaona namba ya kucheza mwanzo mwisho ni yake.
Nileteeee keki aaafu najiunga 🤣🤣🤣tena yenye chocolate 😂😂King Ngwaba
Bobby[emoji23]
Etc
Nimekugroup mapema maana najua utaingia
Hili kundi[emoji38](joking)
Mimi siwezi kumtabiria mabaya
Mpira ni mchezo wa probability.. lolote latokea
Head or tail,?? No one knows.
I just wish him all the best.. akishindwa
Anasepa(as you said)[emoji23]
BobbyyyyyyHeloo Saint Anne.
YNWA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nileteeee keki aaafu najiunga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]tena yenye chocolate [emoji23][emoji23]
Bhana we are Liverpool... Tunatofautiana kimtazamo lakin wote tunaitakia mema Liverpool... We all love this club.
YNWA
Hii comment imenifanya nirudi juu kusoma[emoji23]Heloo Saint Anne.
YNWA
🤣 🤣 🤣 🤣 Kwa sasa Salah hata anune umooo... I guess baada ya kukosa UCL Salah alipata somo la nguvu sana kwamba ushindi wa timu ndio kila kitu mwisho wa msimu maana ndio unatoa msimamo wapeee tunamaliza ligi je nje ya UCL ama ndaniiii ya UCL...Bobbyyyyyy
Naona arguments za Nunez zimekupeleka mchakamchaka umeona ukafufue comments za miaka hiyo bobby wangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38]
Bwana, nakumbuka niliandika baada ya Salah kumnunia Klopp eti kisa amefanyiwa sub.
Hata sasa akirudia ule ushenzi nitamchana tu.. na wenzie lazima wacheze bwana.
🤣 🤣 🤣 🤣 Tumepatia magumu sana aisee...Hii comment imenifanya nirudi juu kusoma[emoji23]
Jamani msimu jana tulikuwa kwenye mateso kama tupo kuzimu vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuja wakuu wamepotea
Mondela simuoni
Ni watu tuliopitia pamoja kwenye moto msimu wetu mbaya.
Bachelor ll we mhuni umepata sana goodtime timu yetu ilipotetereka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ladder 49 nilitaka kumtag jana ila naona amerudi
Baba Swalehe I miss you badly my mubebe