Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,319
🤣🤣🤣🤣Sishangai utakua wewe ndio Admin wa hio group 😜😜😀😀😀😀
YNWA
Jamani jamani
Hebu muulize Def labda anamjua admin.
🤣🤣🤣🤣Sishangai utakua wewe ndio Admin wa hio group 😜😜😀😀😀😀
YNWA
Aaa wapi Admin ni Saint Anne hakuna mwingine🤣🤣🤣🤣
Jamani jamani
Hebu muulize Def labda anamjua admin.
😂 😂 😂 Ila ya Nunez hujaona.Mi sijui alicheza wapi
Nachojua dogo ameibuka kidedea
Kwenda huko 🤣🤣🤣🤣🤣
Hawajapost😂😂 😂 😂 Ila ya Nunez hujaona.
YNWA
Sema Salah aliyamimina aiseee🙌🔥🔥Hi channel ya Whatsapp ya Liverpool ni wabaguzi.
Wamempost Salah na Diaz tu.
Sijamuona Nunez,,
Ama taarifa bado wanaiandaa?
🔥🔥🔥🔥🔥🔥Its a family thing.
Moto mliyopewa na huyu dada hamuwezi kuja kusahau🔥🔥🔥🔥🔥🔥Its a family thing.
YNWA
Ema ndio Kipara wa WSL na huyu dogo ndio Halaand wake.Moto mliyopewa na huyu dada hamuwezi kuja kusahau
Unachokitafuta kipo😂😂😂😂😂😂 😂 😂 😂 😂 Haya Admin Anne
YNWA
Vvd aliwachomesha mwaka jana na zile penati🤣
Hivi Diaz mjomba ake kama alimuoa mpwa wetu😆Liverpool ni familia, ni upendo ni mshikamano, ni klabu bora kabisa ... Wazazi wa Diaz wametua jana Liverpool kusherekea kwa pamoja Xmas...
Liverpool have flown the parents and wider family of Luis Diaz to the city so they can spend Christmas together
We care for our own...
😍 😍 😍 😍 This club
YNWA