Unamzungumziaje Jones?ame up his game au nae auzwe??
Vipi kuhusu Fofana wa Monaco?anaeeza kuja kufaa akija?au hafai??
Role yake atafutwe pia mtu mwingine wa kurotate naye.
Mtoto wa watu achezaga non stop
Kila mechi yupo amepangwa
Na huwa hafanyiwi sub..anacheza mwanzo mwisho dakika zote.
....
Yeye kutaka kuhamishwa position haihusiani na yeye kupewa ucaptain..
Amepewa kwa sababu alistahili..
Kwahiyo uvice wangempa nani pale?
Salah?🤣
Ila sijawahi kumuona Trent anapumzika🥺Salah, VVD, Robertson huwa wanakuwa rotated mara chache sana, na kwenye kikosi cha LFC, outfield player mwenye minutes nyingi uwanjani ni Salah.
Alisson & Robertson, mmoja wapo angekuwa Vice Captain.
Bajectic is raw talent not polished yet he need a senior DM to learn the trade properly, so if i were Klopp mpaka sasa amejua Liverpool DM is so demanding sio ishu ya dogo aisee atarudi tena wodini...
If Fabby the bald head decided to go play vacation league that do tell something about the position n by now Klopp should know how effective game plan he can't just ignore or take for granted importance ya DM position by playing players out of position or inventing Trent to MF this is bound to fail... He need to sign a proper DM period no bla bla but FSG being FSG we should expect nothing unless something comes up interesting in the market...
YNWA
Ila sijawahi kumuona Trent anapumzika🥺
Hawana sifa za uongozi itakuwa
Dogo ndio Captain wetu after VVD.
Ilikuwa ni kwa kumuonea tu aibu MilnerAnapumzika sana tu.
Msimu uliopita, kuna string ya games, ambazo Klopp alikuwa anamuacha bench for Milner.
Ila sijawahi kumuona Trent anapumzika🥺
Hawana sifa za uongozi itakuwa
Dogo ndio Captain wetu after VVD.
Ilikuwa ni kwa kumuonea tu aibu Milner
Ila kwa kweli mtoto wa watu na VVD sijawahi ona wanapumzika.
Halafu pia hana majeruhi ya mara kwa mara.
Milner kwa kweli mi nilikuwa sioni anachochezaKumuonea aibu Milner, kivipi?
Salah kiongozi mzuri?Robertson & Alisson hawana sifa ya uongozi?
Club needed a scouser & England/English citizen kwenye role ya u-captain, VVD (foreigner), kuwa captain, then awe na Vice captains ambao siyo "English", for a traditional club like LFC, SOS & scousers lazima wangeleta manu'nguniko, pia utakuwa unajidanganya kudhani kuwa scousers wote walifurahi VVD kuwa captain.
Alisson, Robertson, Matip, Salah, Thiago etc ni good leaders kulilo Trent. na kwa new guys, Szobo ni good leader kuliko Trent.
Then, Trent siyo "dogo", he's 25, older than Szobo, Konate, Quansah, Macca, Gravenberch, Jones, Elliott, Nunez, Gakpo etc.
Dah, madam kama unavuta bangi Acha mara moja, imekukataa kichwani 😄 🤣 😂Salah kiongozi mzuri?
Na anavyonunaga akifanyiwa sub[emoji16],anamnunia hadi Klopp ,, anampa mkono kishingo upande.
Atafundisha nini wenzie?
Hapana.
Matip yupo slow,,kazubaa sana.
Allison apambane tu na majukumu ya kudaka.
Thiago anashinda Hospital ataongoza saa ngapi?
Robo hata muonekano wa uongozi hana.
Wageni akina Sobo hata vibaraza na Mitaa hawajaijua vizuri,wawape uongozi?[emoji23]
Ninaamini Klopp anawajua vizuri hawa vijana na hajakosea kumchagua Trent..
Kwanza ni damu ya Liver.
Kajifunza muda mrefu kutoka kwa Hendo.
Trent for life[emoji3590][emoji3590]
Kweli?😂Dah, madam kama unavuta bangi Acha mara moja, imekukataa kichwani 😄 🤣 😂
Pombe usiache 🤣 , ila tumbaku kali acha...Kweli?😂
Bia zishakolea kichwani..na lile vibe la live band si unajua ngoma zikikolea kichwani 😆
Anyway,ntaacha pombe
.................
Klopp is genius.
Kwahiyo mnabishana na maamuzi ya Klopp?
Hiyo ni pombe tu pekeyakePombe usiache [emoji1787] , ila tumbaku kali acha...
Kabisa i agree its really weird how Liverpool conduct transfers maana tazama wakati tuna Fabinho n crew yake hatukua na progressive MFs kama Domy, Macca lakini wakati tunajiadaa kuteka Ligi sasa kwa kua na kiungo kamilifu FSG haoo wakaafiki bei ya Fabinho kwa faida ya maana tu.. Imagine this season bila Fabinho kusepa kikosi kungekua kime balance kote kote lakini ndio leo hii tupo hapa kikosi kimepwaya kati kwa hatuna traditional DM doing all th dirty work...Our squad planning, huwa inakuwa na gaps sana, huwa hatukamilishi for some weird reasons.
Fabinho was the MAIN asset kwenye eneo la MF, as a club, ndiyo alikuwa anatakiwa kuwa mchezaji wa kwanza kuwa replaced, but we ended up buying a stopgap 6 (siyo mbaya), but tulikuwa tunahitaji a stopgap?
Ninachoshukuru, we bought Szobo, Macca & Grav, atleast inasaidia ku-cover uzumbe uliofanyika kwenye upande wa DM.
Hence, naamini, na NAHISI kama Bajcetic akiiridhisha managerial department (Klopp & Cos), we wont sign a strating 6, and i wont even be suprised.
FSG nilijua ni mzigo pale waliposhindwa kutumia dirisha la kuanzia 2019 kumpa Klopp a generation squad kuteka UCL na EPL wakabakia kutegemea Klopp the miracle worker bure kabisa... Signing 2 injury prone MFs in Keita na Thiago in space of almost 4 years was total failure by any standards aisee... Pale Ethad Txiki Begiristain is working day and night kuhakikisha kikosi kinakua supported in all areas... Its one thing to have a rich owner n another thing to spot pure talent n another thing to turn thing to a winning machine n woooow Pep has installed that mpaka unaona wivu aisee..Jones, is one of our most important CMs kwasasa.
Him, Macca & Szobo ndiyo our best MF combination kwasasa.
Our MFs kwa upande wa 8s (Left & Right 8s ) imekamilika, Szobo/Macca/Jones/Grav/Elliott & (Thiago). we just need a complete & young 6, Endo is a good squad player, and personally i think Bajcetic needs a lot of coaching & time.
We cant sell Jones.
Fofana, we contacted his camp & Monaco, but when chance ya kumsajili Grav ilivyofunguka, we decided to put his file on hold, ni kama kwa Andre tu.
Fofana rejected Forest in the summer, think he was waiting for a big/good offer, and tulikuwa ni moja ya club ambazo zilikuwa intersted, we have never closed his file, but he's not a plan A or B, but he's on our list, kama tukiamua ku-shop for midfielder again, unawajua FSG walivyo.
Kama wiki 3 nyuma nilisema tukifika January.. Tupo 1-3 points apart na Kipara (Man City) ...basi itakuwa game on mpaka May ..This season is very open anyone between City, Liver or Arsenal can win a league.
Well can't say otherwise.... Tupate tiba pale kati kuua hatari za mashambulizi na tupo salama...This season is very open anyone between City, Liver or Arsenal can win a league.