TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,193
- 18,221
Tunavuna tulichopandaIla tuwe wakweli Liverpool kushiriki Europa haijakaa sawa kabisa.
Tulipanda umama
Tunavuna tulichopandaIla tuwe wakweli Liverpool kushiriki Europa haijakaa sawa kabisa.
Yule ngongotiWamteke wa Nunez, ili asicheze apunguze kutukera


Double Double 😍😍😍
Macc ni tapeliMaskini🥲
MacAllister katuponza goli la tatu likakataliwa
Sio kosa lake. Ana limitation pia kwenye ubora wake anavyopangwa.. Dogo sio DM wala HM wala invented HM kote huku Klopp anamfosi tu lakini sio mahala pale ujue....
Jamaa hata simuelewi
Fabinho wetu jamaniarudi
Mi sielewi chochoteSio kosa lake. Ana limitation pia kwenye ubora wake anavyopangwa.. Dogo sio DM wala HM wala invented HM kote huku Klopp anamfosi tu lakini sio mahala pale ujue....
Klopp hakutoa 35m+ kwa hiki unachokiona, poor boy.
Huyu ni AM by trade.
YNWA

Kocha wako kaonyesha umwamba wake kamtoa mikasi kwa kosa la kimpira badala ya kumjenga mchezaji unaonesha chuki za wazi hivi kesho atakupa nini huyu uliemharibu kifikra mtaalam wetu hapa anaita kum destroy.Mi sielewi chochote
Ninachojua alinawa mpira, hatimaye goli zuri tu lile likakataliwa.
Kweli sisi ni wa kufungwa ligi za Europa kweli? 🥺
Sema naye mikasi kazingua sana😂Kocha wako kaonyesha umwamba wake kamtoa mikasi kwa kosa la kimpira badala ya kumjenga mchezaji unaonesha chuki za wazi hivi kesho atakupa nini huyu uliemharibu kifikra mtaalam wetu hapa anaita kum destroy.
mwalimu wa mpila akaona mapungu akaweka lami upande huo hivyo Yani.
Tuone na wale waliofungisha tena hawatapangwa?
Wachezaji wa kombe la dunia
Jamaa hata simuelewi
Fabinho wetu jamaniarudi
😂😂Wachezaji wa kombe la dunia